ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni za bima za vyombo vya moto zinasaidia vipi kufanya wamiliki kuwa makini barabarani?

    Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali. Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
  2. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Reuters wapanga mgomo Siku ya leo kupinga ongezeko dogo la mshahara

    Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
  4. Theorist Mosses

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ongezeko la bei za bidhaa ni chanzo cha wananchi kuishi kama watumwa

    (Picha mtandoni) Utangulizi Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni. Wananchi wengi ndani ya sehemu...
  5. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

    Habari za Muda Ndungu Zangu, Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda. Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
  7. UNCLE THREE

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hatua stahiki dhidi ya ongezeko la joto duniani

    MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI. Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kote ambapo majanga ya vifo, ukame, njaa yamelipotiwa kutokana na...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

    Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa. Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Tanzania na ongezeko la wasiokuwa na ajira

    MFUMO WA ELIMU WA TANZANIA NA ONGEZEKO LA WASIOKUWA NA AJIRA UTANGULIZI: Elimu ni ule ujuzi ambao mtu anabaki nao baada ya kusahau yale aliyojifunza shuleni(Albert Einstein). Lakini tukirejelea mfumo wa elimu wa Tanzania haumuandai muhitimu kuja kubaki na ujuzi ambao utakuja kumsaidia hapo...
  11. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kauli ya serikali kuhusiana na Ongezeko la mshahara

  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Posho: Serikali ilidanganya?

    Kama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000. Katika mwendelezo ule ule kwenye mishahara, serikali imezielekeza taasisi zake zilipe posho kulingana na uwezo wake sio lazima iwe hiyo iliyotajwa kwenye...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  14. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Rushwa nchini

    Rushwa ni mwenendo usio faa anao ufanya mtu kwa manufaa yake binafsi. Kuna Aina nyinginza rushwa Kama rushwa ya fedha, ngono, Mali n.k Sababu za kuongezeka kwa rushwa nchini. Ongezeko la umaskini nchini hupelekea kutoa rushwa kwa lengo la kujipatia kitu flani mfano kazi. Ubinafsishaji...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

    Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
  17. Tsh

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kagera walalamikia ongezeko la nauli za MV Victoria

    Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera, wamelalamikia ongezeko la Tsh. 2445 hadi Tsh. 10,000 la nauli za Meli ya New MV. Victoria kuanzia leo Julai 4 kwa mujibu wa mwongozo wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) Inaelezwa kuwa nauli za daraja uchumi iliyokuwa TSh.16, 000 kwa mtu mzima imekuwa...
  19. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu wanaoinyooshea kidole elimu ya Tanzania

    Habarini. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa na ongezeko la watu wanaopinga elimu yetu, wengi hoja yao kubwa ikiwa ni pesa. Madai ya baadhi ya hao watu ni ni kwamba ni heri mtoto amalize form form halafu akatafute maisha Kama kufanya biashara. Mbaya zaidi baadhi ya...
  20. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Je, Usafirishaji wa Wanyama nje ya nchi itachangia ongezeko la Watalii au tunaenda kuua soko la Utalii ndani ya nchi?

    Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi. Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
Back
Top Bottom