Imekuwa kama utaratibu kwa serikali kuongeza mshahara mwezi wa Saba, watumishi wana tashwishi ya kujua kama kuna ongezeko au wasubiri increament wadau mlioko jikoni mtujuze.
Kazi iendelee
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
Uwekezaji wa DP world katika bandari zetu Tanzania, umepokelewa kwa mitazamo tofauti. Wengi wameonesha kutokubaliana nao kwa asilimia kubwa na kudai maboresho kadha wa kadha kwa manufaa ya nchi yetu huku wanaoupigia chapuo wakisema mkataba huo ni bora na utasaidia kuboresha utendaji bandarini na...
Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika kama chanzo muhimu cha mauzo ya nje na kuongeza mapato. Kwa kufuata mazoea endelevu, kukuza...
Tarehe tano mwezi wa sita kila mwaka ni siku ambayo dunia nzima inaazimisha siku ya mazingira. Mwaka huu 2023, siku hii imebeba kauli mbiu “ Pinga uchafuzi wa plastiki”.Nyaraka hii itaangazia athari za plastiki katika mazingira na afya, pamoja na uwajibikaji kwa wananchi,serikali,mashirika...
Hello JF,
👇👇👇
Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko.
Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?
Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Kila unakopita, watoto lainii na wazuriiii wanaongezeka kila siku na wanazidiana tu katika kuiachia misambwanda yao ikitetema.....ajabu kila mwanamke analo sambandwa la haja siku hizi. Nina uhakika the case is the same kwa Kapeace wetu humu.
Hali ipo hivyo kila mkoa, ila Dar ndo...
UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO
Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
Wakuu za sasa hivi hapo,
Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo.
Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama...
Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa ulikadiria kuwa kufikia katikati ya mwaka huu, India itaipita China na kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Juu ya hali hii ya kawaida ya mabadiliko ya idadi ya watu, kwenye ripoti za baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi, inaonekana kuwa ni shida kubwa...
Hivi ni kweli kuwa ukomo wa kurefuka na kunenepa kwa uume ni miaka 20?
Yaani mtu mwanaume mwenye umri wa miaka 25 au 30, kamwe hawezi ku experience ongezeko la ukubwa wa uume wake?
Kwa maana nyingine, ukubwa wa uume wa mwanaume akiwa na miaka 20, ndio atakaokuwa nao akifikisha miaka 35?
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola...
Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema mikopo inayotolewa na benki ya maendeleo ya kilimo imetoa shilingi bilioni 78.54 kwa wakulima 119,797...
Huenda Maneno haya Machache yakaeleweka na watu wachache tu Kwa wengi ndio hao wanaoshabikia Ujinga.
Ipo hivi, ukikaa Kwa kutulia ukaitazama Dunia vizuri, utagundua Raia wengi wa Nchi zote Duniani, wamepitiwa na Ushetani hivi wa kupenda masuala ya kijinga jinga yaani masuala ya ovyo ovyoo...
Habari zenu wakuu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la rika lote la watu katika jamii ya Kitanzania kupendelea zaidi kinywaji cha "Mo Extra" kiukweli nilikuwa naomba tupeane shule kwanini hiki kinywaji ukinywa kinaleta hali fulanj ya kutamani kuendelea kunywa mara kwa mara (addicted)
MO Dewji anasema...
Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini.
Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei.
Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita.
Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu.
Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.