ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu wanaoinyooshea kidole elimu ya Tanzania

    Habarini. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Kumekuwa na ongezeko la watu wanaopinga elimu yetu, wengi hoja yao kubwa ikiwa ni pesa. Madai ya baadhi ya hao watu ni ni kwamba ni heri mtoto amalize form form halafu akatafute maisha Kama kufanya biashara. Mbaya zaidi baadhi ya...
  2. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Je, Usafirishaji wa Wanyama nje ya nchi itachangia ongezeko la Watalii au tunaenda kuua soko la Utalii ndani ya nchi?

    Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi. Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania USAWA uko wapi kwenye ongezeko la posho za kujikimu

    Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela. Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni...
  4. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Josephine Matiro: Miaka 7 hapakuwa na Ongezeko, ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia kaongeza 23.3%. Ni Ushindi kwa Wanawake

    Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
  5. one one chief

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma lisiwafanye muingie mkenge kukopa kwenye taasisi ndogo ndogo za kifedha

    Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa. Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yampongeza Rais Samia kwa ongezeko la Mshahara

    Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara. My take: Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi. Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie...
  7. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Kwanza naomba ifahamike kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa siasa na sera za Magufuli na ninaamini ndie kiongozi Bora kuwahi kuwepo Tanzania na Afrika kwa miaka ya karibuni. Kwa miaka mitano mishahara haikuwahi kupanda ila mfumuko wa bei ulidhibitiwa na watumishi wengi walilipwa malimbikizo yao...
  8. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Umasikini na ongezeko la mishahara

    masikini ni yule anayejitahidi kutokuonekana masikini. Akipata 10000 akanywee pombe 7000, elfu 3 anunue vocha na chai kesho yake Akipata elfu 5 anunue chakula cha elfu 3, vocha mia 5 na hela ya daladala Hali hii ipo wired kwenye akili za watu katika makuzi. Umezaliwa hivyo na utakuwa hivyo...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la 23.3% ni kwa watumishi wote au asilimia inashuka mshahara unavyopanda?

    ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!? Leo 12:15 hrs 15/05/2023 Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

    Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu. Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha? Kwa muda mrefu tumekuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii. Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

    Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15% Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6 Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tuzikatae Serikali zisizo na ufumbuzi ongezeko la bei za mafuta

    Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii. Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele. Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei mpya za nauli kwa kuzingatia diesel @ 2,800/- wakiyataka mabasi kutokutumia nauli hizo kabla ya 14...
  18. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Tutatimiza agizo la Rais la kupandisha mishahara kwa wakati

    WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI. Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema ofisi yake imejipanga kupandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa wakati kama alivyoelekeza Rais wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kima cha chini ni sh ngapi kwa ongezeko la leo?

    Mimi sijasikia mkuu wa nchi akamka kuwa sasa hivi kima cha chini kitakuwa sh ngapi. Aliyesikia atufafanulie kwa msaada zaidi. Fungukeni.
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
Back
Top Bottom