ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Sensa ya 2022 Vs Ongezeko la Bei

    Habari nyote Niende tu moja kwa moja katika hoja yangu na nianze na swali rahisi kabisa, Kuna umuhimu gani wa kufanya sensa ya watu na makazi wakati tukiwa katika kipindi kigumu sana cha ongezeko la bei katika mahitaji mengi ya watanzania na duniani kote? Natambua umuhimu wa sensa ya watu na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni ukweli usiopingika kuwa gharama ya maisha imeongezeka sana

    Ni ukweli usiopingika kuwa gharama ya maisha imeongezeka sana na kuna malalamiko kila kona. Mitaani watu wanalaumu . Ni kweli vita vya Urusi dhidi ya Ukraine ndo imepandisha bei kwa kiasi fulani kama ingependeza Mhe. Rais angejitokeza hadharani kwenye vyombo vya habari kuelezea athari ya...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  6. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Inflation, ongezeko la bei katika bidhaa

    INFLATION Hiki ni kipindi ambacho thamani ya pesa inashuka kutokana na bei ya bidhaa ambazo ni muhimu (necessity goods) kupanda. Vyanzo vya mfumuko wa bei. 1. Ongezeko la ajira Kuongezeka kwa ajira kutasaidia watu kuweza kujitegemea na kuweza kupata kipato. Kipato kikiwa kikubwa basi...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU

    Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU Wabunge wa Tanzania wamesema matumizi ya dawa za dharura za uzazi wa mpango zinazojulikana kwa jina la P2 kuzuia mimba kwa wasichana wenye umri wa miaka 14-24 yanaongezeka. Wabunge katika kamati ya afya walikuwa...
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

    Wakuu, Gazeti la JAMVI LA HABARI limeendelea kuandika masuala yanayohatarisha ustawi wa watu, wanyamapori, mifugo na uhifadhi katika Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro. Gazeti hilo rimeripoti kuwa watu wameongezeka kutoka watu 8000 mwaka 1959 hadi 110,000 mwaka huu linalosababisha...
  10. Aizna

    JamiiForums Tanzania Sababu za ongezeko kubwa la visa vya mauaji

    VIP
  11. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

    Dunia inaenda Kasi sana. Baada ya kurudi nchini, Leo nimebahatika kuja hapa Lekam Club iliyopo Maeneo ya Buguruni. Nilichojionea ni masikitiko sana Kwa maendeleo ya taifa hili na ulimwengu Kwa ujumla. Nimejionea club nzima imekodiwa na visichana vidogo ambavyo Kwa makamo ni miaka 19 mpaka 25...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Premier League imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini

    Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini. Mechi ya leo kati ya Leeds United na Aston Villa...
  14. OLS

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja, mashirika ya umma yamekopa nje kwa ongezeko la 1024.2% zaidi

    Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174) Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
  15. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Ajira kwa watoto, Serikali kupitia ustawi wa jamii imejisahau?

    Achia mbali ongezeko la watoto wa mtaani katika miji yote mikubwa., Tatizo lingine linaloonekana kwa sasa ni wingi wa ajira kwa watoto wenye umri kati ya miaka 9-13. Tena katika mfumo tofauti tofauti kama ifuatavyo. Kwa maeneo ya mjini watoto wenye umri tajwa hapo juu siku hizi ndo hutumika...
  16. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muwajibishe Gerson Msigwa na Mramba, wameongopa kuhusu ongezeko la uzalishaji umeme

    Rais Samia sikupangii ila inapaswa kumuwajibisha Msemaji mkuu wa serikali na Felchesim Mramba ambae sasa ni kamishna wa umeme na nishati Tanesco. Kwanini uwawajibishe Tarehe 10 mwezi huu wa 11, wiki moja iliyopita kulikuwa na mkutano wa waandishi wa habari na mawaziri na watendaji mbalimbali wa...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

    Barafu inayeyuka kabisa kileleni. Mungu atunusuru
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la kiwango cha joto nchini, sababu zatajwa

    🌡☀️🚦ONGEZEKO LA JOTO NCHINI Dar es Salaam, 08 Novemba 2021: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa juu ya uwepo wa ongezeko la joto katika maeneo mengi hapa nchini. Ongezeko hili la joto linatokana na kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WFP waripoti ongezeko la njaa duniani

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limeonya kwamba idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa katika nchi 43, imeongezeka hadi kufikia milioni 45, yaani juu kwa ongezeko la watu milioni tatu mwaka huu huku njaa kali ikiongezeka kote ulimwenguni. Idadi hii imeongezeka kutoka milioni...
  20. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Habari 👋🏾 Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana. Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na...
Back
Top Bottom