ofisini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake. Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
  2. T

    INAUZWA Tunauza funiture za nyumbani na ofisini Kwa bei rahisi

    Karibu ujipatie causal leser bench kwa matumizi ya ofisini, dinning room, sitting room na chumbani. Tunapatikana tabata 0767601018. causal leser bench 150,000. Mito 20,000 mmoja Zulia 15,000 Tunafanya delivery Dar na mikoani.
  3. Patrick Mfugale katika umri wa miaka 71 alikuwa anafanya nini ofisi ya umma?

    Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu. Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine...
  4. Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  5. Je, Rais akisema 'Mkeka wa Ma DC ' upo tayari kutoka ' Ufanisi ' wa Kiutendaji kwa waliopo Ofisini unaongezeka au unashuka?

    Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu? Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
  6. Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?

    Habari za Leo wakuu, Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo. Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano? Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako. Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu. Wakuu...
  7. Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

    Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.
  8. M

    IGP Sirro, toeni elimu kwa askari wa usalama barabarani; wanatuchelewesha kazini

    Wanabodi leo mara ya pili nimepatwa na shida ndiyo nikajua kuna tatizo. Nineamka saa 11 niwahi ofisini trafiki amekamata daladala yetu kisa dereva hakusimama kwenye zebra. Toka saa 12 hadi sasa hivi saa 1:30 tumekalishwa hapa wanamsubiria tajiri wa gari, vitu havieleweki kabisa. Nashindwa...
  9. Mahitaji ya kamera kwa majumbani na ofisini

    Kwa usalama wa nyumbani na usalama wa ofisi yako Black Horse Africa tupo kwaajili yako. Tuna kamera za kisasa zenye uwezo mzuri wakuona hata kizani bila kupoteza taswira halisi Karibu tukuhudumie .gharam zetu ni nafuu sana wamasiliano 0782719980
  10. Angalia ujuzi wangu na uzoefu katika usafi hasa uchafu sugu ikikupendeza tushirikiane au nipe nafasi kiwandani, ofisini au hotelini kwako

    Habari ya leo wapendwa, Mimi ni mjasiriamali najihusisha na usafi wa aina mbalimbali nimejikita zaidi katika uchafu sugu. Mfano: 1.Masink yote yaliyo kuwa na uchafu sugu Kama unjano ama kufubaa nang'arisha na kurudisha kuwa jipya kabisa. 2.Tiles za ukutani ama za chini zilizo na...
  11. S

    Kama DPP haondolewi ofisini mpaka afanye makosa au awe na tatizo la kiafya, Rais kamuondoa katika mazingira gani?

    Nimesoma mtandaoni kuhusu taratibu za kisheria zinazotakiwa kufuata ili kumuondoa DPP ofisini, ambapo sheria imetamka wazi kuwa DPP hapaswi kuondolewa ofisini isipokuwa tu kama ana tatizo la kiafya(illness) au amekwenda kinyume na maadili ya kazi. Hata katika hili la kwenda kinyume na...
  12. A

    Jinsi ya kuanzisha Kampuni za usafi majumbani na ofisini

    Habari wapendwa, Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
  13. Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi. Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…