Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 6,977
- 7,688
Kuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu.
Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha mzee ambae ameshafariki.Leo kuna jamaa yangu pale ofisi za Temeke katakiwa atoe 70,000/- ili apate hiyo huduma ndani ya muda mfupi.
Naomba PCCB waweke mitego yao kwenye ofisi zote za NIDA na wahakikishia watavuna vidagaa vingi vya rushwa.