Serikali inastahili pongezi kwa kufanikisha ujenzi wa jengo la kisasa la ofisi za makao makuu ya BAKWATA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,295
146,761
Wakati akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali iliyotekelezwa na serikali ya CCM ndani ya miaka minne RC Makonda amelielezea pia jengo la makao makuu ya Bakwata.

Mh Makonda amelielezea jinsi jengo hilo litakavyokuwa la kisasa kabisa na namna alivyopendekeza ofisi ya mufti iweje.

Kwa wasiofahamu ni kuwa RC Makonda ndiye aliyedesign muonekano wa msgari ya polisi ambayo aliyachukua yakiwa makuukuu na kuyafanyia design kisha akayapeleka garsge Moshi yakaundwe upya.

Kwa ubunifu wake na namna serikali ilivyojitoa kidiplomasia kuhakikisha Bakwata wanapata jengo la kisasa, basi wote kwa pamoja RC na serikali wanastahili pongezi kutoka jamii nzima ya wapenda maendeleo Tanzania.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom