Uchafu wa Dk Kebwe kutumia ofisi ya umma kufanya biashara

grumeti

Member
May 27, 2013
20
45
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
 
Mdodos

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
342
250

Acha wivu wa kike wewe, mwanaume mwenzio akipta fursa na kuitumia kinakuuma nn?
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
35,732
2,000
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Magufuli ni mkweli balaa!, hakopeshi wala hamungunyi maneno.
https://www.jamiiforums.com/threads...-ni-kazi-tuu-ila-pia-sio-kama-nyerere.991898/
P
 
Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
735
1,000
Ndo hivyo kisha tumbuka.

Mkoa wa morogoro una viwanda vingi, rasilimali nyingi,kama madini , mabwawa, mito ,samaki, mifugo, mbuga za wanyama, vyuo vikuu, barabara kuu ya kimataifa, ardhi nzuri yenye rutuba na watu wachapakazi.

Kebwe alishindwa kabisa kuongoza mkoa akaishia kwenye biashara zake binafsi za kuchuma pesa.

Ndg zetu wa Mkoa wa Mara huyo Kebwe kawaangusha sana kwa aibu ya kushindwa kazi.

Bora kazi hiyo wapewe vijana ambao kwa sasa wameonyesha kumudu majukumu ktk mikoa na wilaya nyingi.
Usishangae pamoja na kushindwa tena akaenda kutia huruma kwenye ubunge, sijui ili ateuliwe uwaziri tena huku ukuu wa mkoa unamshinda.

Kebwe ni tatizo.

Any way vijana watamtuliza.
Hana mpya tena.
 
Cendy

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
1,196
2,000
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Unalipwa sh ngapi kumfata fata mzee wa watu
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,056
2,000
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
VIP wa Dar.
 
All TRUTH

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
4,294
2,000
Ukitoka ambaye hafanyi hayo hakuna kabisa maana wote tu wachafu sema yeye ni bahati tu kakamatwa
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,583
2,000
Haya yamesemwa na Rais Magufuli akiwa Dumila njiani kuelekea Dodoma leo tarehe 20 Nov 2019. Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetumbuliwa Dk Kebwe alitumia nafasi yake kupata zabuni za miradi mbalimbali mkoani kwake ikiwa ni pamoja na kupata tender ya ku-supply mbao mbovu. Huyu mtu ni mchafu na hafai kuwa hata kiongozi wa familia. Hawa ndio viongozi ambao hawatakiwi katika awamu hii.
Mbona hajapelekwa mahakama ya mafisadi? Magufuli hayuko serious na kupambana na ufisadi
 
Top Bottom