ofisi

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA anzeni kufungua ofisi mlizozifunga Mtaani

    Mzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani . Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya Jumapili njema
  2. JamiiForums Tanzania KATAVI: Walimu Zaidi ya 200 Waandamana ofisi za CCM kudai Haki yao ya kupandishwa madaraja

    Takriban walimu 200 wa shule za msingi na sekondari Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameandamana mpaka Ofisi ya Mkoa ya Chama cha Mapinduzi wakiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya upandishwaji wa madaraja ya mshahara baada ya kukaa kwa muda mrefu katika utumishi bila kupata stahiki hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Katika Ofisi ya TANU ya Miaka ya 1960

    OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960 Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960. Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii itanikumbusha mengi. Kweli na hakika picha hii imenirudisha nyuma sana na imenikumbusha mbali katika...
  4. JamiiForums Tanzania Je, umeme unokatwa nchini na Tanesco wajumuisha ofisi zote nyeti, balozi na sehemu zingine kama Oysterbay? Au ni kwa watanzania wa hali ya chini tu?

    Kero ya kukatwa umeme na Tanesco imekuwa kubwa na sasa umeme wakatwa nchi nzima katika mikoa mbalimbali. Lakini ningependa kufahamu kama umeme huu wakatwa katika sehemu zote nyeti, ofisi za kibalozi, viwandani, maeneo ya uzunguni na katika makazi ya watu muhimu katika nchi hii? Je, umeme huo...
  5. JamiiForums Tanzania Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

    Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa. Vigezo awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala. awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote. asiwe mtu wa hasira au dharau. awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro akabidhi Mifuko ya Saruji 50 Ujenzi Ofisi za CCM Tawi la Mahenge

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo na Mbunge wa JImbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameambatana na Komredi Alhaji Mwinyi Msolomi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Songea kutoa msaada wa mifuko 50 ya Saruji ili kuwezesha ujenzi wa Ofisi ya Tawi la Mahenge Kata ya Songea...
  7. JamiiForums Tanzania Ofisi za oriflame ziko wapi siku hizi?

    Habari wapendwa.ninaimani mko salama salimini. Naomba msaaada wa kujua zilipo ofisi/duka la oriflame/sehemu ninapoweza kupata vipodozi vya oriflame 😊 Natanguliza Shukrani Chakorii 🤸‍♀️🤸‍♀️
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu

    Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu. Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani. UPDATE: Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu Walinzi wote wa Tundu Lissu Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge Mzee Hashim...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali iweke ofisi za Mkuu wa Wilaya pembeni ya Mji Mkongwe wa Mikindani, Mtwara

    Wakuu, Ni bandiko la pendekezo kwa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa mji mkongwe wa Mikindani, Mtwara una historia ya kuvutia sana kwa vizazi vya sasa na vijavyo napendekeza makao makuu ya mkuu wa wilaya ya Mtwara yahamishiwe pembeni ya mji huo mkongwe ili kushamirisha shughuli za kiuchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Mfuatilie DC wa Wilaya ya Chunya

    DC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi, Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
  11. JamiiForums Tanzania Serikali Iko Mbioni Kujenga Ofisi ya OCD Wilaya ya Kaliua

    SERIKALI IKO MBIONI KUJENGA OFISI YA OCD WILAYA YA KALIUA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Bungeni, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amekiri kuwa Serikali katika mpango wake wa miaka 10 wa kujenga vituo vya Polisi ngazi ya Wilaya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Uber

    Habari wakuu? Naitaji kufika ofisi za uber, kwa anejua naomba muongozo... mimi nipo Dar maeneo ya bunju
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi wa Ofisi ya WMA. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameridhishwa na Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) chini ya Mkandarasi kutoka Kampuni ya Mohammed Builders Limited. Dkt. Kijaji amebainisha...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sawa dalali kufanya kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa?

    Naomba kupata Uelewa kuna jamaa mmoja ni dalali wa magari na mambo kama hayo ila anafanya kazi ofisi ya mkuu wa mkoa fulani hivi hii iko sawa?
  15. JamiiForums Tanzania Hivi TRA watakubali ku register kampuni ikiwa ofisi nataka ziwe nyumbani?

    Habarini wakuu, Kama kuna mtu ana uelewa na hichi kitu nitaomba msaada. Nahitaji ku register kampuni au biashara. Ila kuna mara ya mwisho nilisajili biashara nilivooenda TRA kwa ajili ya TIN ya biashara walitaka niwapatie mkataba wa pango la biashara. Na baada ya kuwapa wakaanza kupiga...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge laishutumu Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kushindwa kuwalinda

    Bunge la Kenya limembana Kamishna wa Ofisi hiyo, Immaculate Kassait na kumweleza kuwa amewaangusha Wananchi kwa kushindwa kuchunguza na kuhakikisha Taarifa Zao Binafsi zinalindwa dhidi ya kampuni ya Worldcoin. Hatua hiyo inafuatia Kamishna kuieleza Kamati ya Bunge ya Habari na Mawasiliano kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yaishutumu Worldcoin kuingilia Faragha za Wakenya, Inataka Mahakama Kuingilia kati

    Ofisi ya Ulinzi wa Data inasema kuwa uchakataji wa Taarifa Binafsi kupitia mradi wa Worldcoin haukuzingatia kanuni za ulinzi wa data kama zilivyobainishwa katika kifungu cha 25 cha Sheria. Ofisi hiyo sasa imeitaka Mahakama kuingilia kati ili kutoa mwongo wa hatua za kuchukuliwa dhidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  19. JamiiForums Tanzania Bodaboda wavamia ofisi ya Serikali ya Mtaa Tabata, wamchukua mwizi wa Bodaboda watokomea naye kusikojulikana

    Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023. Tukio la wizi lilivyokuwa Dada mmoja...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba Mzuri, kwa nini watu waache ofisi?

    Mheshimiwa sana DC wa Handeni ambaye alitokea upinzani anazurura kutetea mktaba mzuri na wenye maslahi kwa nchi,kwa nini? Viongozi wa serikali na Chama wangetulia na wakatekeleza Mkataba na kwa muda mfupi matokeo yataonekana na aibu yao wanaoupinga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…