Party animals: Jiji lipi lina night life amazing na usalama kwenye nchi zinazotuzunguka

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Nchi zinazotuzunguka - Kenya, Uganda, Rwanda, Congo, Zambia, Malawi, Mozambique.

Wengine tukisafiri nje basi nightlife huwa inapewa uzito sana.

Tukifika kwenye miji ya watu huwa tunapenda kufanya upopo.

Unatoka club A unaingia club B,

Totoz kama zote zinamulika.

Ukija kucheki muda unakuta kumeshakucha.

Ila muhimu zaidi usalama maana mambo ya vibaka, kutekwa, vurugu, n.k. watz hatuyafagilii.

Ni jiji gani zuri hapa Afrika Mashariki kwa night life?
 
Back
Top Bottom