nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    CHADEMA mmepata ajenda nzuri ya kuiondoa CCM madarakani, mjivuruge wenyewe sasa!

    Hata mtu mjinga anajua kuwa huu mkataba wa "kuwauzia" Waarabu Bandari zetu umepatikana kilaghai! Nape Nnauye ni mnafiki sana! Analinganisha mkataba wa Bomba la Mafuta na huu wa Bandari,wakati anajua wakati wa Hayati Rais Magufuli mkataba ule ulijadiliwa na Baraza la Mawaziri mara kadhaa! Sasa...
  2. Hitimisho langu. Ni ishara nzuri ya kuongezeka kwa confidence kwa Wawekezaji ila kwetu tuzidi kupambana na ujinga na chuki hawa ni maadui wakubwa sana

    Hongera Bunge kwa kuridhia makubaliano ya Ushirikiano baina ya nchi yetu na Falme ya Dubai! Kwa michango ya leo hili litaongeza sana confidence kwa wawekezaji wakubwa na kuleta uwekezaji mkubwa zaidi nchini mwetu. Ila kwa sisi tuliobaki tuzidi sana kupambana na adui ujinga na chuki. Nimegundua...
  3. Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?

    Hivi Ukizaa na mke wa mtu na bahati nzuri au mbaya mtoto amefanana na wewe. Je unaweza kudai mtoto wako?
  4. Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  5. Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  6. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Wakuu, nahitaji lodge nzuri maeneo ya Mwenge na makumbusho, Dar es salaam. Bajeti yangu ni Tsh. 20,000 hadi 25,000.
  7. B

    Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  8. Msaada: Kozi gani nzuri ya kusomea Wizara ya Utalii/ Maliasili

    Hello jF, Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri. Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro. Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
  9. Naomba kujua App nzuri ya Mazoezi

    Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home. Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha. Yanga Bingwa CAFCCC
  10. U

    Nimefurahi Kuona Vyombo(mitungi) , Tafrija ya Ikulu, nzuri sana

    Leo ni Siku muhimu Kwa Mkoa wa Dodoma ambao ni makao makuu ya Jamhuri ya Muubgano wa TAnzania, kwani unafanyika Uzinduzi wa Jengo la Ikulu (State House ambayo pia ni Ofisi na Makazi ya Raisi na Makamu wa Raisi. Kwakweli Leo nimefarijika sana na uandaaji wa Tafrija hii kwani wameweka na Vyombo...
  11. Data usage Monitor, Mali bila daftari hupotea bila habari. Nimepata software nzuri sana ya kufatilia matumizi ya data kwenye pc, nami nawashirikisha

    Hasa kwetu tunaotumia vifurushi vya kupima kwa ndonya vyenye kikomo cha GB, Hivyo kwetu GB hizo ni mali. Binafsi kwenye Pc nimeipata hii software ya Net Traffic, ni kasoftware kadogo tu kana KB kadhaa ila kazi yake iko poa. naweza kuangalia kiasi cha data nachokitumia live, kwa saa, kwa siku...
  12. Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na; 1. Vampire diaries 2. Supernatural 3. Riverdale 4. Legacies 5. Midnight mass 6. Shadow hunters 7. Teen wolf 8.The...
  13. Hali siyo nzuri. Tunahitaji maombi

    Shem kashtuka kama sister ana chat sana na mtu flani. Anahisi kama ni mchepuko wake. Sister angu mjeuri sana kuna kipindi huwa nasema hata mimi nsingeweza kumuwowa. Huwa natamani nimuwambe makofi. Sema basi tu. Maana mimi ni kaka yake. Hapa home hakuna amani sister kuna siku kamtukana sana...
  14. Picha ya Kimkakati: Rais Samia na Watoto wa Kitanzania nchini Namibia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia. Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
  15. Wazungu waliokuja kikazi hapa ofisini wanafurahi watanzania ni wakarimu maana wanapata treatment na attention nzuri hata kwa mabosi wakorofi.

    Sijui niseme ni ushamba wa rangi au vp, ila nikisema kwamba hii nchi kuna ubaguzi nako naweza kukaribia. Kuna wazungu hapa wanafunzi wa waliotoka huko ulaya wamekuja kikazi hapa ofisini, wamefika jumatatu watakuwa hapa kwa wiki mbili. wawili wa kiume na wawili wa kike wapo kwenye rika la 21...
  16. K

    Naomba kujuzwa English medium nzuri maeneo ya Boko - Bunju

    Habari zenu wana jamvi. Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri. Itanipa unaafuu zaidi kama nitapata shule zilizo maeneo ya Tegeta-Boko-Bunju. Ada pia iwe stahimilivu🙏 Natanguliza...
  17. Benki ipi ni nzuri kuweka akiba ??

    Habari JF!!! Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali. ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza tosha kuwa nauli ya kufata hela yako kwa muhusika. imagine transactions sijui VAT zinafanyika nikiwa...
  18. M

    Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma inafanya kazi nzuri: Isiingiliwe, mapungufu tuyaainishe ili wayarekebishe.

    Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma: 1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka kuboreshwa uwanja kwa baadhi ya watu almaarufu kama "watoto wa wakubwa". Wanataka kuwapitishia...
  19. Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

    Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa. Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
  20. The Killer (1989) - Moja ya kazi Nzuri Sana ya John Woo

    Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo....; Anyway katika Ma-directors maridadi John Woo na yeye ni Mtaalamu (From Mission Impossible mpaka A Better...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…