Data usage Monitor, Mali bila daftari hupotea bila habari. Nimepata software nzuri sana ya kufatilia matumizi ya data kwenye pc, nami nawashirikisha

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Hasa kwetu tunaotumia vifurushi vya kupima kwa ndonya vyenye kikomo cha GB, Hivyo kwetu GB hizo ni mali.

Binafsi kwenye Pc nimeipata hii software ya Net Traffic, ni kasoftware kadogo tu kana KB kadhaa ila kazi yake iko poa. naweza kuangalia kiasi cha data nachokitumia live, kwa saa, kwa siku, kwa wiki, kwa mwezi, n.k.

>> DOWNLOAD >>

1684321247332.png

1684321207857.png
 
Mimi natafuta ya ku limit speed mfano, PC itumie 300KB/sec. Hapo ndo nta anza kutumia PC kwa net, tofauti na hapo ni moto tu, siwezi weka 1GB ya aftatu halafu una peruzi ka dakika 20, hivi huo ni wizi wa standard gauge.
 
Ukipata nitag
 
Back
Top Bottom