Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

Pagani zonda

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
459
292
Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;

1. Vampire diaries
2. Supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7. Teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina

Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
 
Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;

1. Vampire diaries
2.supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7.teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina

Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
Shadow and bones
From
 
Unaiachaje ? MERLIN 🤓🤓

Weka number one hapo....
 
Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;

1. Vampire diaries
2.supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7.teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina

Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
Riverdale haina uchawi bhana
 
Sandman..kali sana

Black night

Lord of the ring. Ring of power

Hannibal...kali sana kuna mwamba anakula maini ya warembo uko. Balaa

Prodical son

From

Them....Kali sana kuna nigga kaamia mtaa wa wazungu wanashambuliwajwe na uchawi wa kizungu balaa sana umo

Suttealestate....hii ya madalali ila madalali wenye akili achana na hawa wa bongo wanakuuzia nyumba yenye vihoja alafu hawana kitengo cha kusaidia wateja wao na kasumba za sangoma kwenye nyumba zao..kali sana

1923..hii sio horror ila nikali mno kuna adi story ya ile mark ya mguu wa kwanza wa binadamu PALE CHUGA😋

Lost treasure....awa wanawinda migodi kwa uchawi

SEE,..hii sio yakichawi ila ina uchinjaji wa hali ya juu. Kuna mwamba uko anaitwa BABA VOSS ni kimbunga huyu..☺

Black snow..huku kuna mauaji ya wale ma psychopath atari awaachi trace nyuma

Kings of jorberg..kali sana kuna majambazi humh wanafamilia wanaiba kwa dark margic

Hello tomorrow...hahaha hii muvi ni kali sana kuna mzee uko muongo atari ila anadanganya kwa manufaa ni kali sana hiii..haiboi kabisa

Dark mater.

A town,,uku kuna uuaji wa kimasiara masiara sana hahaha haiboi kabisa hii..

A bowl..kali sana kuna kakijiji kanafunikwa na bakuli invisible umo amna mtu kutoka wala kuingia..ohoo ni mazabezabe umo ndani..

Kama umeona mojawapo hapo...hope unanielewa ni nini namaanisha😃

Ninazo nyingi kweny list ila,,,hizi ni kwa ufupi nisije weka pdf ya list hapa🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom