nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Soma hapa umuhimu wa kuwa na landscape design nzuri kwenye nyumba yako wale wapenda garden

    Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache: 1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia. 2. Thamani ya Mali: Nyumba yenye landscape nzuri huongeza thamani ya ardhi na kuvutia wanunuzi au wapangaji. 3. Faragha...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Binafsi hadi hii leo sijaona kinachonivutia katika umbile la mwanamke zaidi ya sura ilio nzuri. Zingatia neno "binafsi"

    Najua mtaanza na maneno ya sura hata punda anayo🤣
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  5. black-tz

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani

    Ni wakati sasa jamiiforums ibadilishe muonekano wa app na kuongenza features ili kuendana na wakati ilikujiweka nafasi nzuri ya ushindani Ili kuoata watumiaji wapya
  6. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Saa nzuri kabisa kuanzia Mtoto wa Miaka 9-18 na ni imara

    Saa za Watoto & Watu wazima Ubora umezingatiwa 💯 Haziingizi Maji ✅ Zina Alarm ⏰ Zina Stopwatch ⏱️ Zinasoma days Kwa Bei Janja Tsh 15,000/= 🔥 UBORA UMEZINGATIWA ☎️ 0712350159 🚩 FREE DELIVERY AROUND ARUSHA TOWN
  7. Msolo

    JamiiForums Tanzania Apps nzuri na bure kwa Michezo, Movies, News

    Kusambaa kwa internet kunabadilisha namna tunavyoishi na kufanya mambo, kwangu mimi imeondoa matumizi ya ving'amuzi(tv decoders) sasa natumia apps kuwatch kila kitu Tv channels, movies, michezo mbalimbali kwa gharama nafuu. Hizi ni list ya Apps ninazotumia kwenye Android TV na Android phone...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  10. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Angalia maajabu tuliyofanya katika hii mansion ya mteja wetu. Tuli-design, then tukaingia site tukatoa kitu matata sana

    MANSION DESIGN AND BUILD SERVICES CALL/WHATSAP US +255624004650 INSTAGRAM mkuzibuilders TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  11. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Saa nzuri za watoto na imara

    Saa za Watoto & Watu wazima Ubora umezingatiwa 💯 Haziingizi Maji ✅ Zina Alarm ⏰ Zina Stopwatch ⏱️ Zinasoma days Kwa Bei Janja Tsh 15,000/= 🔥 UBORA UMEZINGATIWA ☎️ 0712350159 🚩 FREE DELIVERY AROUND ARUSHA TOWN
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania KUWA NA PESA PEKE YAKE HAITOSHI KUWA NA NYUMBA NZURI UNAHITAJI PIA WATAALAMU WABOBEVU KAMA SISI CALL US 0624004650

    TUNAHUSIKA NA HUDUMA YA DESIGN NA UJENZI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Gas ni nzuri sana, ni usasa wa kisasa, lakini tusiziache kanuni za ukubwa wa madirisha yetu majikoni

    Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu! ========== Your Gas Stove Might Be Emitting Cancer-Causing Chemicals—Even When You’re Not Cooking. And Children’s Are At Double The...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

    Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga. Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo. Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
  16. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Keep resting in peace champ, kumbukumbu zako nzuri daima zitaishi ndani ya mioyo yetu

    Bado naikumbuka Ile siku jembe langu, ili kuwa saa 11 asubui nili amka ili ni download nyimbo mbili tu za kusikiliza asubui hiyo. sijui Kama ili kuwa ni kuandaliwa au kujulishwaa, ila sikumbuki hata hiyo mood ya nyimbo za tutaonana baadae na I can't forget you zili toka wapi?. dakika chache...
  17. Sarisasa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Wakuu habari zenu. Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza. Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
  18. Strong25

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

    Habarini waungwana Naomba rejea kwenye kichwa cha habari hapo juu Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri maana kila siku naishia kuuziwa fake _ flash hata mwezi haifiki tayari ishaanza maluelue mara nyimbo hazisomi mara hakuna saut mambo nimengi wajuzi wahayo mambo msaada plz
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  20. G

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

    Wadau nauza hii simu yangu Maelezo yake na picha hapo chini Samsung A34 Storage 128gb Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data Napatikana Dar es salaam Namba 0765137266 Bei Tsh 430,000
Back
Top Bottom