nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  2. G

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

    Wadau nauza hii simu yangu Maelezo yake na picha hapo chini Samsung A34 Storage 128gb Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data Napatikana Dar es salaam Namba 0765137266 Bei Tsh 430,000
  3. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri ya ghorofa kisasa goba half lanod inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  4. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa nzuri ya ghorofa underground half landon inauzwa

    Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant Living Rooms Dedicated Study Room Spacious Dining Area Fully Equipped Modern Kitchen Servant's...
  5. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
  6. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Application Nzuri ya Kudownload Videos YouTube

    Wakuu, Naomba mwenye kujua Application ambayo naweza kushushia video YouTube. Nilikua natumia Application kama Snaptube, Videoder na Vidmate. Ila sasa hivi naona zimekua restricted, hazidownload Msaada wakuu.
  7. Auto-Marvelt

    JamiiForums Tanzania C. TAWALA FC TUBADILISHE KOCHA. HALI SIYO NZURI TENA

    Niweke wazi kwanza, mimi sio timu Tawala wala Tawaliwa bali timu maendeleo. Kila kukicha tunaona makundi yanaibuka yanayosema kocha wetu anaupiga mwingi hadi unamwagika lakini bahati mbaya ni makundi ya wachezaji tu sio mashabiki. Kocha anashindwa kufanya sub-konki za kutupa alama tatu...
  8. Tanzanized S

    JamiiForums Tanzania Kuwa na Viongozi Waadilifu na Wasimamizi Wazuri wa Katiba ni Jambo Jema, Lakini Jambo Jema Zaidi ni Nchi Kuwa na Katiba Nzuri

    Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio. Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali imeonesha kuwa uadilifu wa viongozi hauwezi kufanikisha maendeleo ya kudumu iwapo haujawekwa ndani ya...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kina Mrema 2024 walikuja na kauli mbiu ya "watake wasitake" hivi ni nzuri kuliko ya No reforms No Election?

    Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024...
  10. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kamera nzuri ya bei ya chini kwa kwa ajili ya video

    Kwa bajeti ya 200,000 hadi 300,000 naweza kupata kamera gani nzuri kwa ajili ya short films na clips. Nipo mtwara. Kwa sasa natumia simu kufanya hivyo vyote.
  11. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

    Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine. FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS) Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na...
  12. dalalitz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri yakuhamia, vyumba 3, Tshs.60 milioni, Goba muungano

    ...
  13. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Wakuu kwa bajeti ya Tsh milioni 21. Nichukue toyota ipi ilio durable?

    Karibuni car experts
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

    Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana. Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake. Kuna mwaka mmoja nilienda...
  15. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  16. baggio23

    JamiiForums Tanzania Je, wajua umuhimu wa logo nzuri ya biashara?

    Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners design Cv design Social media post template Karibu Tukuhudimie Leo..
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

    Toka tumeanza kudhamini teams nyingi ligi imechangamka sana. Tunaona ubora ulivyo kwetu. Sasa ninyi hamtaki why?
  18. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  20. Dx and Rx

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani nzuri ya Baiskeli kwa Ajili ya Mazoezi ili kuimarisha Afya

    Salamu Wakuu, Habari za weekend. Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo. Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
Back
Top Bottom