Iwe na sifa hizi.
-Ada nafuu
-Elimu Bora
-Isiyo na makuu
-Iliyotulia
-Watoto wa hali zote
-kidato cha 1-6
Nk
My take.
Hizi shule tunazopeleka watoto zinachangamoto nyingi, ukute shule walimu hawajitumi. Lkn kuna shule walimu wanafanyakaz ya Mungu. Hizi shule zenye walimu wa aina hii kumtumikia...
Umiliki na Usajili wa Mali
Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili" limekuwa na maana pana, na linaweza kuhusishwa na masuala mengi, ikiwemo usajili wa magari, nyumba, na hata...
Inshallah mwakani nitakuwa porini kwenye shughuli za ufugaji na kilimo.
Naomba Kwa wanao jua nitahitaji mambo wa solar Kwa ajiri ya mwaga,kutotoreshea vifaranga na burudani kidogo si unajua porini Tena.
Mimi binafisi nilinunua mtambo wa mySol Kwa mkopo kama m3 na ushee mtambo wa kati na ipo...
Habari wana jamvi poleni kwa miangaiko na kwa yanayoendelea nchini.
Bila ya kuwachosha niende moja kwa moja kwenye point.
Naombeni wadau wa taaram wa mambo ya tehama kuanzia mfumo mpaka vifaa nisaidieni ni wireless access point ipi nzuri ambayo ni kiifunga kwenye point inaweza kusukuma mawimbi...
Wadau wa technology.
Naomba msaada wa mawazo yenu, najua mpo wenye experience ya kutosha kwenye hivi vifaa.
Nataka kununua digital camera na printer mahsusi kwa ajili ya kazi ya picha za passport.
Nahitaji kwa ajili ya kutoa passport za haraka zile za dakika 3.
Nachoitaji ni kusaidiwa jina...
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa.
Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na uhuru mkubwa. Licha ya hayo yote, bado katika Taifa hilo kubwa duniani, tunashuhudia matukio ya...
Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo
Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake
Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Habari za uhakika
Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani
Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege
KWA KAZI nzuri waliyofanya
Naomba...
Wakuu naitaji TV 32inch, sahivi kuna kampuni nyingi sana za TV ,hasa hizi made in china.
Je kampuni gani nzuri ya TV Kwa hizi made in china?
Ushauri tafadhari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.