nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni Hoteli gani nzuri Dar yenye vitanda virefu?

    Wakuu kama unajua hotel au Lodge nzuri sana yenye vitanda virefu kuelekea juu tafadhali nijuze. Na jambo langu makini sana na mrembo mmoja hivi toka Rock city. Kiwe na urefu angalau wa futi 3.7 mpaka 4 kutokea chini hadi godoro lilipo.
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mbegu nzuri ukubalika kila sehemu

    Kama huna mtoto mpaka sasa, na hakuna mwanamke aliyekuja kukuomba uzae nae, juwa kuwa mbegu yako si nzuri. Ata kwenye mashamba, huwa tunachagua mbegu nzuri na kuiotesha, hivyo hivyo na kwenye mifugo, tutaangalia ile mbegu nzuri na kuipandikiza kwenye jike. Pia, na kama unatumia pesa nyingi...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania GYM nzuri Msata au Chalinze inapatikana wapi?

    Habarini wanajamiiforums... Naomba kuuliza ni wapi kuna gym nzuri mitaa ya Msata au Chalinze
  4. screpa

    JamiiForums Tanzania Simu yenye kamera nzuri kwa bajeti ya laki4 hadi 5

    Wakuu naomba mnipe mwongozo wa simu ambayo angalau inaweza nisaidia kupiga picha nzuri za kupost mtandaoni bidhaa za duka walau nikapata quality inayokubalika kwa bajeti hiyo, asante!
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  6. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ya kumfukuza mwanamke alieng'ang'ania ghetto??

    Kama inavyosomeka hapo juu Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu demu. Kuna wale wakongwe wa kufukuza wanawake ving'ang'anizi kwenye nyumba nipeni mbinu 2 3 zisizo na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  11. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  12. Slim

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga

    Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga Arusha classic appartment 3 bedroom budget 500k maeneo ya njiro Arusha, URGENT
  13. General Nguli

    JamiiForums Tanzania Mashine nzuri ya kuchuja maji (Water filter.)

    Kwema wakuu...! Naomba kufahamishwa Mashine ndogo ya kuchuja maji safi Kwa matumizi ya kawaida nyumbani aina zake na Gharama zake NatanguIiza shukrani
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Laptop nzuri kwa kijana wangu

    Wadau wazoefu,nina kijana wangu yupo kidato cha 6,nataka nimnunulie laptop kwa ajili ya matumizi yake,nikizingatia kuwa mwakani anaweza kujiunga na chuo kikuu,je ni laptop ipi,yenye uwezo upi nimnunulie?
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  16. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Programu nzuri ya usimamizi wa biashara

    Nawasalimu wadau wote wa biashara humu ndani. Naomba ushauri wenu kwa yoyote anayejua programu nzuri ya usimamizi wa biashara (business management software). Programu hiyo nataka iwe na sifa zifuatazo: Accounting Invoicing Support for Mobile and bank payments Payroll Track stocks, sales...
  17. haszu

    JamiiForums Tanzania Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

    Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man. N. B usifananishe uanaume na kua rough. Kua na ngozi laini si kosa. Kunukia sio kosa Kua na sura nzuri sio kosa.
  18. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba nzuri sana inauzwa, ipo Dar es Salaam, Goba - Bei ni million 550

    Ghorofa inauzwa Iko Goba lastanza Umbali mita 300 toka lami Inavyumba Vinne (4) vyote master ,sebule 2 juu na chini,jiko kubwa dining, stoo na Choo cha public ENEO Lina sqm 900 Hati ipo Bei mil 550 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Lodge nzuri Ngerengere

    Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr? Natanguliza shukururani
  20. W

    JamiiForums Tanzania USB cable zipi za kuchajia simu ni nzuri kwenye maduka ya mtaani ?

    nahitaji kwenda kununua usb type c cable ya kuchaji simu, naombeni ushauri wenu
Back
Top Bottom