Wakenya kuletewa passport mlangoni baada ya kufanya maombi mtandaoni

MKIBAIGWA

Senior Member
May 25, 2017
163
500
Majirani zetu wameanza sisi Passport unahojiwa kama unataka kuingia Vaults ya BOT

=======

Posta.png

PostMaster General Dan Kagwe and Immigration Director General Alexander Muteshi during the signing of an MoU on May 3, 2021. PHOTO / COURTESY

By Vincent Anguche

Kenyans will now have their passports delivered at their doorsteps, this follows the signing of a memorandum of agreement between Posta Kenya and the Department of Immigration on Thursday.

Immigration Director General Alexander Muteshi said the initiative will reduce the numerous unnecessary trips by applicants to Nyayo House.

Henceforth, Kenyans will only be required to make a single visit to the immigration offices to submit the hard copy of the application and give their biometrics.

On his part, PostMaster General Dan Kagwe said the partnership will ensure proper service to all caliber of Kenyans through the wide Posta network in the country and reduce contact due to the COV ID-19 pandemic.

Over 156,000 passports have been delivered since the initial inception of the services in September 2020.

Besides passports, other services that will be rendered in the partnership are automated VISA applications, work permits and passes, citizenship and alien cards.
 

mosses15

Senior Member
Dec 27, 2018
112
225
Huwa sielewi kwa nini kuna kuwa na vikwazo vingi mtu anapohitaji pasi ya kusafiria. Dunia ya sasa si ya kupita njia za panya.
 

usser

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
13,253
2,000
Njoo Nairobi uende pale
Nyayohouse ndo utapata
Majibu yako utachagua
Kusafirisha ama kuzika hapo hapo
 

MKIBAIGWA

Senior Member
May 25, 2017
163
500
Apana mwaka huu nimepanga nitoke nje kidogo nikaone dunia nje ipoje
Mkuu fanya hivyo hutajutia.Tangu nianze kutoka nje 2016 sijutii.najifunza vitu vingi sana.

Na business idea nyingi nimezipata nje.ukienda tu hata Kenya utajifunza Mengi sana.
Jack chain alisema safiri hela yako itarudi ila mda wako hautarudi
 

Mnyatiaji

JF-Expert Member
Dec 13, 2018
2,950
2,000
Mkuu fanya hivyo hutajutia.Tangu nianze kutoka nje 2016 sijutii.najifunza vitu vingi sana.

Na business idea nyingi nimezipata nje.ukienda tu hata Kenya utajifunza Mengi sana.
Jack chain alisema safiri hela yako itarudi ila mda wako hautarudi
Nashukuru kwa moyo ngoja nifanye kweli
 

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,472
2,000
Hapa kwetu utkitaka pass utaulizwa ya nini?
Unataka kwenda wapi?
Kufanya nini?

Passport ni haki ya kila raia,
Sio unapata safari unatakiwa uondoke ndani ya siku 8 unaanza kuihangaikia unaambiwa itatoka baada ya siku 30
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom