nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC04 Matumizi ya Elimu kidigitali kwa wanafunzi wa sekondali Tanzania hasa wanapokuwa nyumbani

    Ufafanuzi wa Elimu Kidegitali Elimu kidigitali ni mchakato wa kujifunza na kufundisha unaotumia teknolojia za kidigitali kama kompyuta, vifaa vya mkononi simu janja, vishikwambi na mtandao ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa maarifa na ujuzi. Elimu hii inajumuisha matumizi ya zana na...
  2. A

    KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  3. Hawli ya Aliyekuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir Imesomwa Nyumbani Kwake Magomeni

    Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia mpigania uhuru na mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU. Sheikh Hassan bin Ameir anakumbukwa kwa kuuza...
  4. Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

    Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili Mapendekezo -Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
  5. S

    Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  6. Trump adai Rais Biden aliagiza maafisa wa FBI wamuue wakati wa upekuzi nyumbani kwake

    MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
  7. Pika popcorn simple kwenye jiko la gesi nyumbani

    Hakuna haja ya kununua bisi. Ni gharama ndogo sana kuzipika nyumbani kwa kutumia jiko la gesi. Nunua mahindi ya popcorn. Kilo inauzwa 4,000 na ndonya 1,500. Tenga sufuria kubwa kubwa jikoni. Weka mafuta. Pasha mafuta hadi yaive. Yakiiva punguza moto uwe mdogo kabisa na weka popcorn zako ndani...
  8. K

    Vyombo vya nyumbani

    Jipatie vyombo vya nyumbani Kwa bei sawa na bure, Jipatie bakuli 6, side plate 6 na sahani kubwa 6, na serving bowl 3 Kwa bei ya 125,000 tuu, Tupo Dar Kariakoo; Tupigie 0744466202
  9. Siku za weekend unapenda kufanya nini zaidi?

    Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
  10. N

    Jitahidi uwe unaenda haja kubwa mbali na nyumbani

    Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unaenda kufanya haja kubwa sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi...
  11. Baada ya matatizo, leo nimerudi nyumbani

    Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima niitege simu sehemu fulani. leo mambo yakawa tofauti, nikakumbuka nina line ya TTCL, nikaweka kwa kweli...
  12. Wakuu nahisi nimeisharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena hapa nyumbani kwangu, simu imeniumbua

    Wakuu salama? Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa...
  13. Tanga: Hospitali ya Mji Korogwe (Magunga) yabainika kuhifadhi Damu kwenye Mafriji ya Nyumbani

    Mwezi mmoja baada ya kubainika jokofu la matumizi ya nyumbani kuhifadhia damu katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, hilo limebainika tena mkoani Tanga. Kwa mujibu wa taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali (Tamisemi), Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa...
  14. Baba wa nyumbani!

    Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si akampenda Binti wa kiholanzi ,Netherlands baadae wakaondoka wote kwenda uholanzi roja akazani ame yapatia...
  15. N

    JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  16. N

    Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
  17. Jaribio sahili unaloweza kulifanya na watoto kutengeneza upinde wa Mvua

    Habari wana JF, Leo ninawaleteeni sayansi ya upinde wa mvua. Hivi unafahamu ni kwa vipi upinde wa mvua hutokea? Na ni kwa nini watu wakiona upinde wa mvua husema bila wasiwasi kwamba "mvua haitanyesha, si unaona li upinde la mvua lilee" Naandika mada hii baada ya kusikia kisa cha bodaboda wa...
  18. Ufanyapo usafi nyumbani, usipookota hata Tsh. 100 ujuwe ufukara unapiga hodi!

    Watakiwa kuokota shs 100, 200 hata 500. Sasa waburuza fagio kwa mbwembwe na siajabu kudeki kabisa halafu huokoti chochote basi ujuwe kazi unayo! Mnasemaje wadau
  19. Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  20. Barcelona yapata kipigo cha aibu nyumbani, yapigwa na PSG magoli 4-1

    Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…