bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 760
- 1,762
Mwanajeshi Nazar Dalestskyi alipotea wakati wa shambulizi zito la Urusi huko Donbas mapema 2022 na kuhofiwa kufa,
Ndugu walipewa taarifa na kufanya mazishi ya mpendwa wao baada ya vinasaba vya DNA vilivyo chukuliwa kwa mama yske kuonyesha ni maiti yske.
Lakini maajabu yametokea 2026 baada ya Ukraine na Urusi kubadilishana wafungwa wa vita (POW) na Nazar alikuwa mmoja wso.
Alirejea moja kwa moja nyumbani kwao ambapo jamii yote ilipatwa na mshangao marehemu kurudi, mama yake alimtazama mwanae kwa mshangso na kumkumbatia,wakamweleza walishafanya msiba wake miaka 4 iliyopita wakaenda kumwonyesha kaburi lake.
Nazar alisimama mbele ya kaburi hilo akisoma jina lake juu ya msalaba tarehe ya kuzaliwa na "kufa" kwake.