Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,576
- 60,977
Hatimaye nimevuna magunia 15 ya mpunga; kwa sasa natafuta mke wa kuoa aje tusaidiane kula mavuno yangu.
Kama wewe ni mrembo, na una uwezo wa kumshawishi equation x ili akuruhusu uje ule mavuno yake aliolima kwa shida, pita hapa mbele ukiwa unanesanesa.
Usikubali kuzeekea nyumbani, njoo kwa eqution x msaidizane kula mavuno yake.