Karibu kwenye huduma ya tuition nyumbani [Home tuition]

Karibu kwenye huduma ya tuition nyumbani [Home tuition]

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Je, unahitaji mwalimu bora wa kumfundisha mwanao nyumbani? Sisi tupo kwa ajili yako!

Tunatoa huduma za Home Tuition kwa wanafunzi wa:
✅ Nursery & Kindergarten
✅ Standard I–VII
✅ Form I–VI
✅ Vyuo na Vyuo Vikuu
✅ Watu wazima (Adult Education)

🎯 Tunafundisha masomo yote kwa mitaala yote, ikiwemo:
✔ Mtaala wa Tanzania (NECTA)
✔ Cambridge
✔ IGCSE
✔ IB na mitaala mingine ya kimataifa

🌍 Pia tunafundisha lugha za kigeni:
🇬🇧 English
🇫🇷 French
🇸🇦 Arabic
🇩🇪 German
🇪🇸 Spanish
🇨🇳 Chinese (Mandarin)
🇹🇷 Turkish
🇰🇷 Korean
🇷🇺 Russian
🇮🇹 Italian
🇸🇪 Kiswahili kwa wageni (Swahili for Foreigners)

💡 Tunawasaidia pia wanafunzi wenye changamoto za ufahamu, wanaojiandaa na mitihani, wanaorudia masomo, na wanaotaka kuongeza ufaulu.

Kwa nini uchague ELITE HOME TUITION?
⭐ Walimu wenye uzoefu na weledi
⭐ Mafunzo ya mtu mmoja mmoja kulingana na uwezo wa mwanafunzi
⭐ Ratiba zinazokufaa
⭐ Huduma za nyumbani na mtandaoni (Online Tuition)
⭐ Ufuatiliaji wa maendeleo ya mwanafunzi

📍 Huduma zinapatikana Tanzania nzima.

📲 Wasiliana nasi leo kupitia Simu au WhatsApp:
0743 567 159

ELITE HOME TUITION – Tunabadilisha changamoto za masomo kuwa mafanikio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom