Uchaguzi 2020 Nyumba za ibada zapigwa marufuku kufanyia kampeni za wagombea

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,275
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.

Wametoa agizo hilo leo Septemba 26, 2020, jijini Dar es salaam, wakati wakizungumza na wandishi wa habari ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema kwa kufanya hivyo inawezekana ikawa chanzo cha kuvuruga amani ya nchi.

"Muacheni mtu akamchague kiongozi anayemtaka na sio wewe kiongozi wa dini fulani unatumia nyumba za ibada kama ni jukwaa la kisiasa"amesema mwenyekiti wa kamati hiyo Shekh Alhad Musa Salum.

Kushoto ni Mjumbe wa kamati ya amani nchini Sylvester Gamanywa, katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Sheikh Alhad Mussa na kulia ni Makamu Mwenyekiti George Fupe.

Amesema kama kila kiongozi wa dini ataamua kufanya hivyo amani ya nchi tunaweza kuivuruga hivyo amewataka viongozi dini kushirikiana katika kupinga kutumia nyumba za ibada kunadi sera zao.
 
Mwenyekiti wa amani yuko kwenye kampeni ya amani.

D5842CAF-7E89-45B1-B8B5-80EC58B320CB.jpeg

D168B1BE-8394-4819-B572-0229FC092754.jpeg
 
Tuwemakin kwa vyama vyote isije ikafikia Kama kongo drc kanisa katoliki lenye wafuasi wengi kuratibu maandamano dhidi ya serikali.
 
Kamati ya amani ipo ipo tuu je itaweza kudhibiti maaskofu ambao ni wagombea wa ubunge?

Je kamati ya amani inatambua hakuna amani ikiwa haki ikaporwa na adui, je muumini kupiga kampeni kanisani anaruhusiwa?

Haya maanuzi ya matakwa ya kamati ya amani kwa ajili ya amani yao wao tuu na siyo wengine?
 
.... maono ya Nabii na Mtume Mingira yameanza kupenya kunako; Baba Askofu Bagoza naye akichagiza! Mara ngapi yeye mwenyewe (huyo Shehe) ameonesha affiliation ya moja kwa moja kwa CCM tena hadharani? Si mara moja wala mbili ni countless number of times. Mnafiki mkubwa sana huyu Shehe.
 
Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.

Wametoa agizo hilo leo Septemba 26, 2020, jijini Dar es salaam, wakati wakizungumza na wandishi wa habari ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Sheikh Alhadi Mussa Salum, amesema kwa kufanya hivyo inawezekana ikawa chanzo cha kuvuruga amani ya nchi.

"Muacheni mtu akamchague kiongozi anayemtaka na sio wewe kiongozi wa dini fulani unatumia nyumba za ibada kama ni jukwaa la kisiasa"amesema mwenyekiti wa kamati hiyo Shekh Alhad Musa Salum.

Kushoto ni Mjumbe wa kamati ya amani nchini Sylvester Gamanywa, katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Sheikh Alhad Mussa na kulia ni Makamu Mwenyekiti George Fupe.

Amesema kama kila kiongozi wa dini ataamua kufanya hivyo amani ya nchi tunaweza kuivuruga hivyo amewataka viongozi dini kushirikiana katika kupinga kutumia nyumba za ibada kunadi sera zao.
shehe ubwabwa anayezunguka na hao makafiri ndio anapiga marufuku? sisi tunasimama na Yesu, tuone nani mshindi.
 
Nakupongeza Sana , Sana Sheikh Alhad Mussa ! MUNGU akubariki Sana ! Wapo baadhi ya Maaskofu wanaanza kutumika vibaya ! Wanaanza kuwagawa Waumini kwa maslahi ya kisiasa ! Tupo nyakati za mwisho kabisa wa dunia ! Ajaye yupo karibu Sana kuliko tunavyofikiri ! Siasa zibaki nje ya Majengo ya Makanisa Na Misikiti .
 
Si vyema kwa lugha uliyotumia, hata Sauli a.k.a Paulo alikuwa muuaji lakini akaongoka.Usihukumu ukaja ukumiwa.Mwombe radhi shehe.
Kwa asiyemjua Alhad Mussa alikuwa ni mvuta bangi mzuri tu maeneo ya Makadara. Bwawani hotel disco alikuwa havundi.
Binafsi nashangaa eti Dar Es salaam anaitwa shekhe!?
 
Nakupongeza Sana , Sana Sheikh Alhad Mussa ! MUNGU akubariki Sana ! Wapo baadhi ya Maaskofu wanaanza kutumika vibaya ! Wanaanza kuwagawa Waumini kwa maslahi ya kisiasa ! Tupo nyakati za mwisho kabisa wa dunia ! Ajaye yupo karibu Sana kuliko tunavyofikiri ! Siasa zibaki nje ya Majengo ya Makanisa Na Misikiti .
Na wale wanaowapa wanasiasa nafasi ya kuongea madhabahuni ni lini tutawakemea?
 
Kumekucha ndio wanakumbuka shuka ?, Ila better late than never....
 
Back
Top Bottom