Uchaguzi 2020 Baada ya kumuhifadhi marehemu katika nyumba yake ya milele ndipo balozi akasimama kutangaza Jambo ambalo alidai kuwa limetoka kwa wakubwa!!

Molleli

Senior Member
Aug 29, 2020
178
160
Salaaaaam, juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji fulani mkoani Mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai Rais atakuepo hapa Mbeya tarehe 30 September kwa hiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja vya airport ya zamani kumlaki mtukufu Rais. Aiseh nilishangaa sana maaana ni kijiji ambacho kipo mbali mno na eneo la tukio, huko kwenu vipi wadau huwa mnatangaziwa au unaamua wewe uende au usiende!?
 
msijali, chama kitakodi malori kuwapeleka na kuwarudisha, ni utaratibu wa kawaida chamani.
Salaaaaam...Juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji flani mkoani mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai rais atakuepo apa mbeya tar 30september kwaiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja vya airport ya zamani kumlaki mtukufu rais aiseh nilishangaa sana maaana ni Kijiji ambacho kipo mbali mno na eneo la tukio...huko kwenu vipi wadau uwa mnatangaziwa au unaamua wewe uende au usiende!?
 
Acha ushamba, kwa taarifa yako maeneo mengi taarifa mbalimbali ziwe za maendeleo au nyingine zozote hutolewa kwenye mikusanyiko ya watu, sasa hapo alisimama balozi tena ni wa CCM angesimama afisa mtendaji si ungefunga kibwebwe uzunguke dunia nzima kusema CCM inatumia viongozi wa Serikali kufanya siasa.

Acha ushamba.
 
Tumewakataaaa🤣 Alafu hasubuhi yote hii ata breakfast hujapata unapaniki ivo utakufa😆😆
 
wakati wa Mgombea Lowassa chadema ilikuwa na ma great thinkers wakiandika hoja za maana na mashiko....

Uchaguzi huu kuna wana chadema wanaandika umbeya, majungu, upoloto nk

Viva Magu 2020 to 2030
Salaaaaam...Juzi nilipata kuhudhuria msiba wa ndugu yangu katika Kijiji flani mkoani mbeya na nilishangaa kuona balozi kwa unyenyekevu akitangaza kuwa kaletewa taarifa kutoka juu zikidai rais atakuepo apa mbeya tar 30september kwaiyo wananchi wa pale kijijini wajitokeze kwa wingi viwanja vya airport ya zamani kumlaki mtukufu rais aiseh nilishangaa sana maaana ni Kijiji ambacho kipo mbali mno na eneo la tukio...huko kwenu vipi wadau uwa mnatangaziwa au unaamua wewe uende au usiende!?
 
Bila matangazo taarifa watu wangezipataje? Kwenda ua kutokwenda naamini ni hiari ya mtu.
Hivi kuna chama kipi kinaongoza kwa mabango barabarani kama sio CCM, halafu kama kweli anakubalika why atumie nguvu yote hiyo kutaka kujaza watu mikutanoni.
 
Back
Top Bottom