Inawezekan lakin jiandae kwa material kutumika mengi ujiandae kununua white cement za kutosha mkuu.Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
Futa kwa plasta,ndio ufanye skimming,kisha rangi,ukifuta kwa skimming nyumba itakuwa ya ajabu,ukifuta kwa plasta ukuta unanyooka vizuri,gharama iinakuwa nafuu,plasta ipigwe nyembamba sana,ikiwa nene itatengeneza ngoma.kila la kheri.Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.