nyumba

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

    Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tuipigie chapuo bangi (marijuana) bunge likubali kuwa zao la biashara

    Habari wadau..! Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina. Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana . Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie mnapotupangisha Waume zenu katika Nyumba mlizojengewa na Hawara zenu huwa mnatuambia?

    Wanaume hawa wanapoenda kununua viwanja hawatuagi, na wakati mwingine ananunua akifariki bahati mbaya unashangaa kumbe wake mko sita wakati unajua uko peke yako" - Sophia Mwakagenda ( Mbunge JMT ) Chanzo: EastAfricaRadio Wanawake sijui ni kwanini mnakuwa wabishi kulikubali na Kulielewa hili...
  4. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

    👇👇👇
  5. DULAIKI COMPANY

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kisasa, Dodoma. Kodi sh. 400,000/= kwa mwezi

    NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO 1. INAVYUMBA 3 2.UMEME 3.MAJI 4.FENSI #MALIPO 1.KODI 400,000 (LAKI NNE) KWA MWEZI. UNALIPIA MWAKA MZIMA. 2. MALIPO YA OFISI(UDALALI) 400,000/= 3. SITE VISIT 10000/= #MAWASILIANO 0762967368(WHATSAPP) 0655325457 #KARIBUNI
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ana sifa ya umalaya, ulozi na wizi

    Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi. Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye anaishi kwenye compound hiyo hiyo maana mle ndani kuna nyumba 4. Kumbe moja wapo ndo ya mama mwenye...
  7. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

    Good afternoon JamiiForums. Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki wenu mkuu. Hapana kwa sababu kuu moja kwamba, wewe na yeye mnaweza kuwa "best friends" lakini wake...
  8. jperson

    JamiiForums Tanzania Msaada kisheria juu ya uuzaji na ununuzi wa nyumba

    SCENARIO [emoji1484] (A). Tuseme ni Ayuoub( ni mmliki wa nyumba) . (S).Tuseme ni Salim ( mteja wa nyumba ya Ayoub 2014). (P).Tuseme ni peter pia nae ni ( mteja wa nyumba ya ayoub 2019 ). Ayoub ni mmliki wa nyumba ndani ya manisipa iliopo ndani ya jiji X .mwaka 2014 alipokea kiasi cha shilingi...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kusaidia wenye uhitaji ni baraka

    Nilikutana na mama mmoja ana real estate, nyumba zake hazipungui 20. Nilikua na hamu ya kufahamu alianzaje. Aliniekeza kuwa alipata ajira yake ya kwanza akiwa na miaka 26. Kazi ilikua nzuri na hakua na maisha ya anasa. Alinunua kiwanja na kujenga nyumba ya nyuma kuanzia. Ilkua na vyumba...
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba hii inauzwa. Ipo Kiharaka kabla yakufika Chuo cha Jeshi Mbweni Mwisho

    Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa. Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master, Seating Room Public toilet Store Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya...
  11. Northern Lights

    JamiiForums Tanzania Vetting ya private contractors wa ujenzi wa nyumba

    Habari wakuu... Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi. Changamoto kubwa iliyopo ni kujua yupi anayeweza kufanya kazi kweli maaana picha baadhi wanatoa tu mtandaoni na wengine ku copy za...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ni mzee gani alimpa Nyerere makochi ya kukalia ambayo yapo kwenye nyumba ya Nyerere hapo magomeni?

    Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo magomeni wakati wa kudai uhuru? Nyumba hiyo ipo magomeni imekuwa kama nyumba ya mkumbusho ukienda hayo...
  13. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ilikuwa inaweza kwenda zake tu, angalia soko la Bilioni 1 na nyumba ya Milioni 350

  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba za matajiri enzi za Malkia Victoria

    Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na vyumba vya kukala. Wafanya kazi walijumlisha House Keeper, Butlers, Chef, dereva na maids. Ground...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu huwa wanaishi kweli kwenye hizo nyumba?

    Ni hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu… Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa? Mfano Rais mstaafu Mwinyi…alihamia kweli kwenye hiyo nyumba yake aliyopewa na serikali? Kikwete naye kakabidhiwa ya kwake...
  16. Chomo

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

    Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa. List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo. Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tazama picha ya nyumba ya Obama

    Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29. Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Taifa maskini linaloongozwa na Sheria zisizofaa. Inaingia akilini kumjengea nyumba aliyehudumu Serikalini miaka zaidi ya 20?

    Inakuwaje taifa ambalo toka limepata uhuru uhaba wa madarasa, maji na huduma za afya ni jambo la kawaida, umaskini mkubwa kwa raia wake ni jambo la kawaida halafu bado linakuwa na sheria ambayo ilitungwa na Bunge kuhudumia na kulipa mafao viongozi wakuu wa kisiasa waliostaafu? Inaingia akilini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete, rudisha hilo hekalu Serikalini lipigwe mnada pesa zisaidie wananchi

    Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete. Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkabidhi nyumba Rais Mstaafu Kikwete

    Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
Back
Top Bottom