nyumba

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

    Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni. Uchaguzi uliopita baba yake alikua mmoja wa wazee wa chama kimoja...
  2. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba Inaunzwa ipo Kimara Bonyokwa

    Nyumba inaunzwa eneo Kimara Bonyokwa Bei milioni hamsini na tano 55,000,000/= Mawasiliano piga sim 0713660178
  3. peterlvitalis92

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa eneo la Mbezi Luois

    Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa Eneo ukubwa ni 30*25 Mahali Mbezi luois Bei milioni 35,000,000/= Mazungumzo yapo na karibu sana Mawasiliano piga sim 0713660178
  4. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
  6. Wafujo

    JamiiForums Tanzania Naomba kukopeshwa Milioni 5 dhamana hati ya nyumba

    . .
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  8. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Usiombe mwenye nyumba wako awe mzaramo, mndengereko, mluguru au mkwere

    Hawa watu ni tatizo sana, huwa hawajali sana kodi lakini wana mambo ya uswahili sana, wasumbufu, wana midomo michafu bahati mbaya sasa ukute umepanga nyumba na anaishi humo humo hivyo vitimbi vyake hakuna rangi utaacha ona.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kuna sehemu ambayo huwa siwaelewi Wanawake wenye Mabwana katika Nyumba za Kupanga ni hii...

    Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu. Ni kipi...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda inajenga nyumba self contained kwa wasio na uwezo

    Ni nyumba ya vyumba viwili. Sharti la kuingia humo ni kusaini mkataba na serikali kuwa hutaiuza wala kuipangisha ni kwamatumizi yako na familia Swali ninalo jiuliza ni kuwa wanalipa kodi au service charges? Ni jukumu la mpangaji kufanya repair kukiwa na kasoro? Hii inaitwa investing in people...
  12. kabila01

    JamiiForums Tanzania Faida nilizozipatakwa kupanda migomba michache kuzunguka nyumba yangu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
  13. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

    Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

    Kwa kipindi hiki ambapo uhalifu umeongezeka Mtaani waelimishe yafuatayo wanaoshinda nyumbani. 1. Wasiwaamini wasiwaruhusu kuingia ndani wauza urembo.waokota makopo,watembeza nguo na wanaosajili line za simu. 2. Tusiwaamini/tusiwakaribishe ndani warembaji wa kucha na wasugua miguu...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba tatu zinampatia kodi ya 3,500,000/=

    Jamaa alipata kiwanja Mbezi Beach siku nyingi sana. Kazini alikua anafanya kazi kwenye mradi wa Danish, alikutana na mke wake hapo. Walienda kuishi wote Denmark baada ya mkataba wa mke wake kuisha. Kule jamaa alijifunza kazi za kulea wazee. Alianza kujenga nyumba yake ya Mbezi Beach kwa ramani...
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji nyumba za kupanga

    Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família. Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Plan ya nyumba ya shamba

    Muhimu hutakiwi kuwa na maadui, maana hata wakichoma makuti tu huko mvunguni hakika unaiaga dunia.
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii nyumba iko nchini Romania

  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba hii yenye miaka 700 ipo Iran

    Waarabu wa kale waliweza kuchonga miamba na kuifanya makazi, waliweka milango na madirisha kujikinga na baridi pia wanyama wakali hata wezi. Walikwenda mbali zaidi katika mazingira ya Zama za Mawe.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

    Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni...
Back
Top Bottom