nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

    Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza. Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  3. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa Bunju B

    Nyumba nzuri na mpya iliyo na servant quarter inapangishwa Bunju B. Bei 2,500,000/- Simu: 0713763026
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum. Msaada tafadhali.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
  6. JamiiForums Tanzania Mtaa wa Fugerrei haujapandisha bei ya nyumba kwa miaka 500, ukilipa dola 1 unakaa mwaka mzima

    Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima. Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba na Ujenzi zinauzwa

    Kupata ramani za nyumba na kwaujenzi makini wasiliana na doltu architects. Contacts 0654003555 0654003555
  8. JamiiForums Tanzania Wanaotathimini Umaskini Mkoa wa Kagera waongo. Ukikusanya nyumba zote zilizojengwa mwaka 2015-2021 unapata mji wa Arusha

    Wana Jf Nimefanya ziara ya kiutafiti wa sehemu inayoweza kustawisha zao la kibiashara kwa ubora wa juu. Nilishangazwa kukutana na maendeleo yaliyopo mkoa wa kagera. Hususani nyumba za kifahari ambazo ukikusanya unaweza kupata mji wa Arusha. Nlijiuliza kwanini wahaya hawajengi mji. Kumbe wana...
  9. JamiiForums Tanzania Idea za nyumba za kupangisha wana chuo

  10. JamiiForums Tanzania Anayeuza kiwanja/nyumba moja kwa Watu tofauti afungwe

    Migogoro hii imekuwa mingi, mbona sisikii wakifungwa? Wengine ni familia moja wanakula dili, documents zinapigwa kopi kisha kila mtu anamtafuta mjinga wake. Wamezidi kuongezeka, ziundwe sheria maalum kwa ajili yao
  11. JamiiForums Tanzania Anayetafuta nyumba au chumba cha kupanga Dodoma

    Kwa mgeni au mwenyeji wa Dodoma mjini, mwenye uhitaji wa chumba au nyumba ya kupanga ani PM kwa mawasiliano zaidi
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni nyumba ni ndogo mno ukichemsha utumbo inabidi ufungue madirisha

  13. JamiiForums Tanzania Nishawishi kwanini nijenge nyumba na huku sina familia

    Kwa mfano ingekuwa Ni wewe umri 27 una kazi ya kipato Cha wastani chenye kukuwezesha kuanza ujenzi polepole Ila kwa kujibana bana Kuna ulazima wowote wa na kuanza kufikiria kujenga ikiwa huna mke Wala mtoto na pengine ndugu yako wa pekee tayari Ana maisha yake kaoa huko mbali na bahati mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Hamjambo ndugu zangu? Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml. Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL Huyu alikuwa mtumishi wetu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa nyumba za kupanga

    Wekeza kwenye upangaji wa nyumba kwa Ramani hii, unit mbili za apartment kila unit moja ina chumba kimoja self// nichek 0627571649
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nyumba za Waalimu Igunga, Mbenge atia neno

    Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
  18. JamiiForums Tanzania Urithi wa nyumba ya babu yenye nguvu za kiroho. Je, iuzwe hata kwa hasara, ipangishwe, ichukuliwe mkopo benki ama kifanyike kipi?

    Hello wanajamvi, great thinkers. Wiki chache zilizopita kuna babu yangu upande wa mama alifariki Katika mali alizoacha kuna nyumba na warithi ni watoto zake akiwemo mama yangu, mama wadogo zangu wawili na wajomba zangu wawili. Sasa tatizo linapokuja ni kwamba hakuna anaetaka kurithi hio...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Dar es Salaam unahitaji bajeti ya milioni ngapi?

    Salaam wakuu, Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu. Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia bora zaid kwenye kuanza ujenzi wa nyumba kati ya hizi mbili

    Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo: 1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje au 2. Kununua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…