nyumba

  1. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Peter Lijualikali amdaka Mwalimu aliyemuoa Mwanafunzi na kuishi nae Nyumba za Shule

    Mwalimu wa Shule ya Msingi Itete kata ya Kirando Wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuoa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Jesca Mwanji (16) tangu mwaka jana na kuishi nae katika majengo ya Serikali yaliyopo katika Shule ya Msingi Itete anaposoma...
  2. Bishop Hiluka

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba ya makazi

    Nyumba ya kuishi inauzwa, ipo Chanika Zingiziwa, Mtaa wa Ngobedi. Ina vyumba vutatu kimoja ni master. Pia ina choo cha nje na eneo ambalo unaweza kujenga kitu kingine. Ipo kwenye eneo tulivu sana kwa wenye kupenda utulivu. Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0685 666964...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

    1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku. 2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni. 3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sakafu za nyumba katika zama za Utawala wa Warumi

    Vipande vya vigae (mosaic) vilipangwa kuleta picha. Huhitaji zulia huu ndiyo urembo wa nyumba. Hii picha ikipatikana Uturuki.
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

    Nyumba ya Bushiri Ali Harthi, iliyojengwa kwa Matumbawe na udongo, bado ina nguvu kama ilivyo, inayopatikana Pangani, mkoani Tanga. Nyumba ina basement, ambapo mazungumzo ya watumwa yamefichwa. Bushiri alipigana vita na Wajerumani (Bushiri Revolt 1888 - 1889) na kushindwa sana, kukamatwa na...
  7. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya inauzwa Kigamboni-Mikwambe

    Habari wanajamii [emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami [emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters [emoji213]Public Toilet moja [emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko [emoji213]Parking gari tatu ndogo zinakaa [emoji213]Nyumba ina fence [emoji213]Umeme na maji tayari Bei ni Tsh...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

    Breaking: Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe. Mchezajini wa Orlando Pirates Tendai Ndoro (36) amepoteza Mali zake zote kwa kufilisiwa baada ya kuachana na mkewe Thando Maseke ambaye ni raia wa Afrika kusini. Taarifa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  11. Lagrangian

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Wasaalm wanabodi Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana. Niko Morogoro mjini. Mnakaribishwa PM Picha Update* November 8, 2021 Wakuu nashkuru sana kwa...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hii nyumba ilijengwa mwaka 1509 katika kijiji cha Argentan, Ufaransa

  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

    Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna walionufaika kwa kukodisha nyumba zao kwa Bongo Movie Industry kwa kurekodi filamu?

    Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii. Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za...
  15. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ahoji usiri wa uuzaji Nyumba za Serikali

    Sakata la uuzaji wa nyumba za Serikali limeibuliwa upya na aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Assad akikosoa utaratibu uliotumika kuziuza. Dodoma. Utaratibu uliotumika kuuza nyumba za Serikali umekosolewa kutokana na kutolihusisha Bunge kama chombo cha...
  16. buffalo44

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Chumba Single Sinza, Magomeni Kanisani, Kawe, Mbezi au Goba

    Hello wakuu. Nipo natafuta chumba single. Kuanza life baada ya chuo. Naomba mwenye nyumba yoyote aliye maeneo hayo anisaidie room single Bajeti yangu ni 60k - 80k kwa mwezi. Dalali niseme hela yako inaniwia ngumu. Ikiwa 50% nipo tayari. Msaada wenu.
  17. Kocha mchezaji

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa Bunju B

    Nyumba nzuri na mpya iliyo na servant quarter inapangishwa Bunju B. Bei 2,500,000/- Simu: 0713763026
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kuuzwa bei gani?

    Nahitaji kujua tathmini ya kuuza nyumba hii. Ina vyumba 2 na sebule pamoja na jiko, master bedroom ni self, chini Kuna tiles na juu Kuna gypsum board pia imepigwa rangi za kisasa ndani na nje na dirisha zote ni aluminum. Msaada tafadhali.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Fugerrei haujapandisha bei ya nyumba kwa miaka 500, ukilipa dola 1 unakaa mwaka mzima

    Nyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima. Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia...
Back
Top Bottom