nyumba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Huduma ya ufundi wa bomba katika nyumba

    Habari wanajamvi, Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au Email: hafidhi07@gmail.com
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

    Sheria zilizotungwa zinatuumiza. Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi. Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika. Watunga sheria hizi ni kina nani?
  4. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

    Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

    Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa. Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

    Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ningetaka kuishi kwenye aina hii ya mtaa na ya nyumba hizo. Na wewe weka hapa picha ya aina ya mtaa ungetaka kuishi

    Habari wana JF, Ninatumai habari njema. Nilikuwa ninafikiri kujenga nyumba lakini ukitaka kujenga nyumba ya kuishi lazima ufikiri hata surrounding yako (mazingira yanayokuzunguka) kwa mfano majirani, usafi wa mtaa Hyvio nilitaka kuweka hapa baadhi ya picha ya neighborhood popote niliona...
  9. BAK

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

    Bila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Nyumba za Bei Nafuu za Malipo Kiduchu Kila Mwezi Huko Kigamboni!!

    Inakaribia mwaka mmoja sasa mshikaji wangu wa karibu kabisa alipofika home na kuniambia kuhusu JPM kutaka kujenga nyumba za bei za nafuu kwa ajili ya wavuvi huko wilayani Kigamboni!! Ndugu yangu huyu akanieleza kwamba, wavuvi hao walitakiwa kufungua akaunti benki na kuweka kiwango cha pesa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa NEMC kwa kusitisha ujenzi wa nyumba ukingoni mwa mto Ndumbwi

    Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira. Kilio cha...
  12. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa nyumba aina hii?

    Wakuu nazimia sana aina hii ya nyumba kwani zipo very simple,attractive,compact na zinakula nafasi ndogo sana. Ni wapi kwa Dar wanatoa huduma ya ujenzi wa aina hii ya nyumba na gharama huwa ni sh ngapi? Hizi nyumba huwa zinanivutia sana hasa kwenye design yake ilivyo,imagine haka hapa kana...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya mbao na saruji inapendeza

    Ukifanikiwa kujenga nyumba hii hakikisha au muombe Mungu usiwe na marafiki wanaonunua petrol mkigombana.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yaani mimi nimlipe mwenye nyumba kodi ya Jengo kupitia LUKU?

    Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea? Nilikuwa namkubali sana Mama...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ikiuzwa bei poa sana jiulize ni kwanini, huyu yamemkuta

  16. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

    Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika. Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti. Wote wanatokea familia masikini ila familia ya mwanamke ina ahueni kidogo maana...
  17. Rujeje

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 15 inaweza kujenga nyumba kama hii?

    Wakuu poleni na majukumu Naomba kuhuliza kwa budget ya milioni 15 naweza kujenga nyumba kama hii?? ukitoa gharama ya kiwanja
  18. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Nimewaomba TANROADS wawape muda zaidi wakazi wa Kimara kabla ya kuwabomolea nyumba zao!

    Mbunge wa Ubungo Prof Kitila Mkumbo amesema wakazi wa Kimara wasiwe na hofu kwani hatua zote za kisheria zitafuatwa kabla hawajahamishwa kupisha ujenzi wa barabara. Mkumbo amesema kwa kuanzia amewaomba Tanroads kuwaongezea muda wakazi hao ili kupisha majadiliano ya msingi yafanyike. Prof...
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kodi ya nyumba, Kodi kwenye mafuta, Kodi kwenye M-pesa, Kodi kwenye vocha za Simu. Huu uchumi ni watu kweli?

    Nimetafakali sana sina jibu. Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu. Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k. Tutafika kweli? Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
  20. Grahams

    JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kufanya biashara ya Nyumba za Kulala wageni Lodges, Guest Houses ukiwa mbali na Upate faida?

    Wakuu, habari za muda huu? Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako? Nimepata wasiwasi baada ya kuona mmoja wa mtu aliyenihamasisha kuingia kwenye biashara hii nayeye akilalamika...
Back
Top Bottom