nyumba

  1. A

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba inauzwa maeneo ya Tabata TOT ila Gari haliingii

    Habari wana jamii?? NYUMBA INAUZWA IPO maeneo ya tabata TOT ila Gari haliingii ndani mpaka katikaeneo la NYUMBA NYUMBA Ina vyumba vitatu na jiko na uwanja ulio baki Ni huo unaouona katika picha ninyumba ya kupangisha. Beii milioni 15. Mazungumzo yapo. Kwa mawasiliano 0766244848
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

    Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema 1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba anayodai Polepole imevunjwa siyo makazi yake ya kibunge, analaghai Umma akishirikiana na aliowakuza awamu iliyopita

    Polepole anatafuta namna ya kuwafanya Wananchi wajinga, anatafuta namna ya kutumia kile chumba anachodai kimevunjwa kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni mzalendo na hakujilimbikizia Mali, anataka kuonyesha Wananchi kwamba yeye ni fukara na mtu wa kiwango Cha chini kimaisha. Tumpuuze Kwanini...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba kigogo Mbuyuni Dar es Salaam kubomolewa

    Nyumba zetu zimewekwa namba hata zile ambazo mafurko haya fiki, Wamiliki kuulizwa tukupe pesa au tuku jengee nyumba? Wamiliki wana pigwa picha na kupimiwa viwanja vyao ina semekan mwisho ni mwezi wa 6 wa 2022 kuishi eneo hilo 1. Naji uliza ule mradi wa bonde la mto msimbazi ndio umekuja hadi...
  5. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Picha ya ndege kitongoji cha Kimegele

    Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele. Eneo hili linafikika kwa gari, pikpiki, nauli ni Tsh 1000/= kutoka Vikindu kwa Usafiri wa pikipiki...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Walianzisha ugomvi wa mawe wakati wanaishi kwenye nyumba ya vioo

    Siku kadhaa zilizopita, nilileta uzi hapa JF nikiwaeleza MATAGA kuwa kwakuwa wanamuhujumu Mama, kuna hatari ya Mama kjjbu mapigo kwa kuweka hadharani madudu ya Mwendazake kwani kinachoendelea ni kumfanya Mama aonekane hatoshi kumlinganisha na Mwendazake. Binafsi naamini hata hii habari yenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

    Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

    Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na kukausha kwa dryer, hawa siwaongelei hapa kwani ni wachache sana. Nguo kuanikwa hovyo hovyo kunapoteza...
  10. JamiiForums Tanzania Goba, Dar: Wanne wafariki dunia, 17 wajeruhiwa baada ya jengo kuangukia nyumba za jirani

    Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Mjini Maili Moja kwa mkuu wa Mkoa

    Nyumba inauzwa kibaha mailimoja karibu na kwa mkuu wa mkoa nyumba ina hati ina ukubwa wa eneo la 400 sqmtrs (20×20) bei 35,000,000/= (milioni 35) mazungumzo yapo haina udalali mimi ndio mmiliki kwa mawasiliano 0765882717
  12. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Arusha tshs 35 millioni

    1.nyumba ipo Arusha morombo dampo kwa kaburu 2.ukubwa wa kiwanja miguu 15kwa 20 3.umbali km5 kutoka lami hati kwenye nyumba 4.ina vyumba 3, kimojawapo ni masta 5.ina jiko, sebule, umeme maji yameshalipiwa auwasa 6.haina fence 7.Document: serikali za mtaa 8.bei 35m maongezi yapo piga/whatsapp...
  13. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mapambo na mpangilio wa ndani ya nyumba

  14. JamiiForums Tanzania Simu yangu moja tu ikasababisha nyumba nzima tuwekwe kizuizini

    Mnamo tarehe Machi,15, msafiri mmoja aliiingia Tanzania majira ya saa kumi jioni. Msafiri huyo ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, ambaye aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda. Baadaye ikathibitishwa kuwa msafiri huyo alikuwa ni mgonjwa wa kwanza wa corona Covid-19...
  15. JamiiForums Tanzania Tukimalizana na madarasa tujenge nyumba za walimu

    Nitoe Kongole nyingi kwa ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya elfu 10 yanayoendelea kujengwa nchi nzima, lengo ni lile lile la kuboresha Elimu! Hata hivyo kwa mustakabali mzima wa kuweka ufanisi katika ufuatiliaji nashauri nguvu nyingine kama hii iwekwe kwenye ujenzi wa Nyumba za walimu...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ashindwa kuzuia bomoa bomoa nyumba zilizojengwa bondeni Bunju, Mbweni eneo la mto Mpiji aishia kulaani tu

    Wana JF Ukisikia mbunge kukosa meno kwa kile kilichoamuliwa na serikali ndio hiki. Tarehe 22 juzi Gwajima Boy alifika kushuhudia nyumba zikivunjwa kwa wale wote waliojenga mabondeni, risasi zililindima kama tupo Kandahar, vilio vilitawala kwa akina mama na baba wakina mabangaloo yakiangishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha nyumba ya nyasi kijijini chasababisha ndoa kuvunjika

    Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza. Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
  18. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Mtoni kwa Azizi Ally

    Nyumba ziko 2 mkabala kabisa na barabara kuu ya kuelekea mbagala lami na ya zege ya mwendokasi. Bei ni TZS 280M. Kwa mawasiliano nicheki 0773411415.
  19. JamiiForums Tanzania Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

    Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda...
  20. JamiiForums Tanzania Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…