Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,237
2,000
Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na bia mbili. Baada ya kuweka oda, nikaenda kuoga ili kupunguza uchovu. Nilipotoka bafuni, ndipo wakaniletea vyakula nilivyoagiza na kuanza kula taratibu. kutokana na uchangamfu wangu, hapo 'lodge' wakawa wamenizoea kwa muda mfupi.

Baada ya kama dakika 20, mwenyeji wangu ndipo akanipigia simu, 'nimeshafika nielekeze chumba ulichofikia' ; nikamwambia ingia hapo mapokezi na wakulete chumba namba 207, baada ya kama dakika chache hivi akawa amefika; ile kumuona tu, na namna alivyovaa nguo za kimitego, ukichangia na chura aliyonayo pamoja na uzuri; nilijiona leo nafaidi utamu wote wa dunia.

Baada ya kusalimiana huku tukiwa tumeshikana, ghafla tukajikuta tupo ulimwengu mwingine; kelele zilivyokuwa zinatoka humo ndani, hadi watu wa nje, mapokezi walikuwa wanasikia; mbaya zaidi anakuwa anataja jina langu ambalo ndio nimeliandikisha pale mapokezi; mchaka mchaka umeendelea kwa muda mrefu huku akipiga makelele tu,najaribu kumzuia kwa kumziba mdomo wapi, anaendelea tu kupiga kelele; nikajisema kimoyo moyo nikisikiliza kelele zake hapa pamoja na kuogopa watu wanaosikia kelele, mzee atalala na sitafaidi kilichonileta.

Nikamuacha aendelee kupiga kelele, ingawa kwenye koldo kuna miguu ilikuwa inatembea tembea lakini mi sikuogopa; baada ya zoezi kuisha, wote mwili ni jasho kama vile tumemwagiwa maji, ingawa AC ilikuwepo. Tukatazamana na kucheka tu.

Baada ya muda akasema aende nyumbani mara moja, halafu baada ya lisaa 1 atarudi, nikamkubalia; Alipoondoka tu, nikasema ngoja nitoke nje niangalie kidogo mazingira; ile kutoka tu, kila mmoja ananiangalia; nikawa najiuliza tatizo ni nini...nikajua inawezekana zile kelele wamezifanya kama 'agenda'. Nikajikausha tu, kama hakuna kilichotokea nikasogelea kaunta na kuendeleza kupiga bia.

Wakuu, mlishakutana na hali hii? Na ulijisikiaje?
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,237
2,000
Kuna zile sauti zao za vilio za kunogewaaaa yaan zinakua za maumivu ya Rahaaaa ,sauti inakuaga sio yajuuu sana ,inakua ya katikat au yachin.


Ukuona makelele yapigwa mpaka unapata mwangwi, haaaa hiiiiiii babyyy ohoooo huku anaongeaaa kwa sautiii ..UJUWE ANAKUIGIZIA.


Anataka akupige kibunda cha Noti...


Sialikua Mapenzi wako zamani?? Zamani hakua nahizo kelele ??.
Alikuwa nazo kiasi, ila kwa sasa ndio zimezidi
 

Shimba Ya Buyenze

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
147,065
2,000
Jamaa kauziwa kelele....
Nyie wanawake wajanja sana. Mnaweza kumfanya mtu akajiona yeye ndiye mfalme wa mapenzi kumbe maigizo tu. Na mwanaume boya anatoka hapo akijigamba kuwa yeye ndiye yeye bingwa wa kupelekea moto kumbe hakuna kitu.

Kweli mnajua kututunzia ego zetu na kutufanya tujione miamba. Yaani hata mwanaume ana kibamia binti anayejielewa bado tu atagugumia kwa maumivu na kelele kibao ili kulinda saikolojia ya mwanaume. Kwa hili mbarikiwe sana mpaka mshangae
 

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,237
2,000
Wanawake utawaweza mkuuu?? Hyo mikelele kuna mawilii labda alikua anataaka umalize haraka au alitaka akuchune zaidi
Nadhani alizidiwa mkuu, alikuwa analazimisha tuende raundi mpaka arizike, hata aliporudi mambo yakawa ni yale yale usiku kucha
 

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
57,006
2,000
Hapo solution ni kujiepusha na mazoeya ya kindezi na wahudumu wa lodge/guest house ili uwe free kuchakata bila kujali nani anasikia nini, pia ukiwachekea sana wahudumu kuna siku utakuja na mrembo mwingine watakuchangamkia sana kwakuwa mnajuana then wanakua wamekuchoresha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom