nyumba

  1. The introvert

    JamiiForums Tanzania Je, Nyumba Imekosa Baba?

    Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolipa kodi za nyumba, chakula na ada za watoto huku mkiwa na waume nyumbani wenye afya njema, mmechanganyikiwa? Are you stupid?

    Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
  3. Governor of Bettors-GB

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAPANGISHWA-CHANIKA

    NYUMBA INAPANGISHWA- CHANIKA - DAR Ipo Chanika Nyeburu Karibu na Doctor Elim School maarufu Geti la Jeshi Maelezo ya Ziada:- Vyumba 3 Choo cha ndani na cha nje Maji Ina uzio( Fenced) Eneo kubwa la uwani - Mtaa uliotulia Maelezo zaidi mpigie mhusika Moja kwa Moja 0750477009
  4. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Inauzwa, Goba maghorofani,bei milioni 570m

    FOR SALE Price Tsh 570m Sqmt 900 full title deed GOBA MAGHOROFANI 4bedrooms Karibu na lami Mtaa Mzuri Sanaa 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #realestate #goba #daressalaam #tanzaniatiktok
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabosi wengi ikifika muda wa kujaza kifusi kwenye nyumba huwa hamtaki?

    Eti uelewa mbovu au ni nini?
  6. prida

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, Kigamboni Kisota, bei milioni 450

    NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, KISOTA 📍 Eneo: Kisota, Kigamboni 💰 Bei: TSh Milioni 450 Kwa maelezo zaidi au kupanga miadi ya kutembelea nyumba hiyo: 📞 Piga Simu/WhatsApp: +255 758 844 717 Fursa ya kumiliki nyumba katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni. Wahi sasa!
  8. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kiwanja na nyumba ya kubomoa, ipo Victoria Dar es Salaam, bei Tsh billioni 5.2

    KIWANJA chenye NYUMBA ZA KUBOMOA KINAUZWA KIPO VICTORIA KINONDON KIWANJA KIKUBWA Sana! KINA (SQM 4250) ni SAWA na (HEKARI MOJA) Ndani ya FENSI MITAA ya KISHUA SANA Inafaa kwa -APARTMENTS -SUPER MARKET -YADI ZA MALORI -SHULE KANISA -VYOVYOTE VILE -au hata MALL Kumbuka KIWANJA ni (HEKARI...
  9. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED DOKEZO Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba

    Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026. Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ukijenga nyumba ya zaidi ya million mia 200 fanya haya.

    Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200. Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi. Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto. Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbagala Rangi Tatu tulivunjiwa nyumba zetu kimakosa, amri ilikuwa ya Kitalu kingine, tunapambania haki yetu

    Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya mahakama, barua za notisi, na ramani zilikuwa zinaonyesha wazi kuwa zoezi lilikuwa ni kwa ajili ya Kitalu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi NANJANGA haina nyumba ya mwalimu

    Shule ya Msingi NANJANGA iliyopo kata ya Ngunja Halmashauri ya Tandahimba haina nyumba ya mwalimu kitu ambacho kinalazimika mwalimu mkuu kulala ofisini. Muda wa kazi ukiisha, ofisi inageuzwa kuwa chumba cha kulala. Shule hii ina walimu sita, wanafunzi 150 na imeanzishwa mwaka 2016. Haina...
  13. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa, ipo Mbezi Msuguri, bei tsh 240m

    GHOROFA INAUZWA MBEZI KWA MSUGURI#### INA HATI YA WIZARA(CLEAN TITTLE DEED)#### INA VYUMBA 4 KULALA VYOTE MASTERS, SEBLE, JIKO, DINNING NA CHOO LUBLIC##### UKUBWA WA KIWANJA SQM 2000*****UMBALI KUTOKA LAMI KM 1### BARABARA NI LAMI#### BEI MILLION 240 MAONGEZI!!!! 🇹🇿Call/WhatsApp...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  15. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kariakoo,bei ni billion 7.8,maongezi yapo

    GHOROFA INAUZWA IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿 Underground, floor 1 and 2 ▶Maduka yako kama 60 ▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate
  16. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tsh bilioni 1.3, ipo Bunju B

    LUXURY HOUSE FOR SALE – BUNJU B 📍 Bunju B 📐 Plot Size: 1,568 SQM 💰 Price: TZS 1.3 Billion (Negotiable) This beautiful luxury home comes with a spacious and modern design perfect for family living or investment. 🔹Brand New 🔹Good View & Fresh Air🍀 🔹 4 Bedrooms (3 Master Bedrooms) 🔹 Large Sitting...
  17. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

    Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
  18. Room 28

    JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  19. Room 28

    JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  20. Room 28

    JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
Back
Top Bottom