Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,602
Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu, halafu mtu from nowhere anakuja kukugongea mlango, anakueleza kuwa umsaidie buku mbili akale na mwanae, hajala tokea asubuhi! Unampa! Asubuhi ya kesho aje mwingine, akwambie umsaidie buku akachote maji. Yaani nimejikuta natoka nje na taulo, nikajipiga kifuani mara tatu, nikaondoka zangu
Hivi inakuwaje mwanamke unapata ujasiri wa kumuomba omba hela mwanaume ambaye hana mazoea na wewe, je akijichanganya akakutongoza, si utamchuna hadi ngozi!