Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,102
- 4,684
Habarini wadau.
Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu kabla sijalazimika kujenga tena (kufanya ripea).
Wadau, linawekana hilo kwa kipato hicho kwa ujenzi utakaochukua miaka 5?!!