Jeshi la Polisi limlete David Jumbe akiwa HAI, Mashuhuda wanakiri Gari la Watekaji kuingia Moja ya Nyumba hapo Mbweni wakiwa Naye !!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,962
Reaction score
92,663
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.

Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI

UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
 
Nakosa cha kusema
Watu wana roho mbaya
Sijui wanawezaje
Nikikumbuka zile damu kwenye video za mo29🙌 Ee Mungu wangu
 
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Polisi wetu hayanaga akili kbs, yatakuwa yamemuua jamaa halafu yanatengeneza story ku justfy kifo chake kwamba kilitokana na majeraha makubwa kichwani baada ya kuanguka kutoka kwenye gari akijaribu kutoroka!.

Yaani mtuhumiwa mwenye pingu mikononi akiwa chini ya ulinzi wa polisi anawezaje kuruka kutoka kwenye gari na kukimbia bila kukamatwa??
Hizi mimi naziita ni drama za polisi!, niliwahi kumshauri IGP Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa!, Polisi Wako Ni Wauaji!. P'se Stop This
P
 
Dah Jumbe popote walikokupeleka urudi salama
 
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.

Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI

UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Siyo wote wazembe kama wewe,ufunngwe mikono nyuma ushindwe kutimua mbio!!..nyi vijana wa siku hizi laini laini sana,mnaona mikate migumu
 
Jini mnywa damu si binadamu-hawezi ona aibu wala kujishtukia. Ni aibu ya taifa kuwa nae.
 
Ndio maana polisi wanajitahidi kuizuia press ya Chadema, wamejaa kwenye ofisi zao Mikocheni.
 
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.

Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI

UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
nonsense 🐒
 
Mkuu ukipofu unaoufanya ni tamaa tu za kidunia ama ni nini? Huogopi siku ambayo utakutanishwa na mola wako mlezi?
Mimi Sina taarifa za polepole kurudi,wewe unazo mkuu?..alipitia airport au bandari ipi?
 
Badi tuishie hapo, unajua unachokifanya.
Mkuu rejea scene ya polepole kutekwa,angalia michirizi ya damu matone yanavyolingana ukubwa,ukipigwa ngumi ya pua huwezi toa matone ya damu yenye ukubwa sawa kwa mchirizi wote ule
Angalia upana kati ya mchirizi na ukuta,hapatoshi mtu kupita akiwa kabeba mtu,walimbebaje pale!?..haikua kujaza watu chuki kuelekea uchaguzi?..hivi serikali watu wake hawawezi mbeba polepole asiyezidi kilo 65 bila kumtoa damu?..ulishawahi kuwaona polisi wanaotembea na difenda nyeupe walivyojazia?..walikuja kunibeba siku moja temeke kule,wale hawahitaji kumpiga polepole,hata kwa meno wanambeba
 
Unajua unachokipigania
 
Napigania ukweli,wanasiasa wanaochochea vurugu Ili tu waende ikulu,hawapaswi kutembea juu ya ardhi
 
Hao jamaa baada ya kuona kwenye mitandao kuwa boda boda waliona nyumba gari ilipoingia ikabidi wajizime data ila lengo lao lilikua ni baya sana..
 
Back
Top Bottom