nyumba

  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

    Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Heche amekaa bungeni 10yrs Leo anasaidiwa na Maria Sarungi kuchangisha watu amalizie nyumba yake, serious?

    Kwani Hela wanapeleka wapi? Au wanacheza kindenge🤣 Watu tunaposema Hela za chadema zinagongwa na wakulungwa wa Chama muwe mnaelewa. imagine mtu aliyepata kiinua mgongo cha ubunge Leo hii ndo anasaidiwa na Maria Sarungi kukamilisha boma lake hii ni aibu. NA HATUJAWAHI SIKIA AMEGOMEA POSHO...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kujenga nyumba ndogo kabla ya nyumba kubwa

    Wakuu habari, ninaishi kwenye upangaji kwa sasa hivyo naendelea kupambana na adha za baba mwenye nyumba lakini kwa bahati nzuri nimeweza kununua kiwanja na sasa najipanga na ujenzi lakini wakati huo mawazo ni mengi kichwani mwangu nikiwaza kujenga nyumba ya ndoto yangu ambayo itanichukua muda...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina wananchi wazuri kupenda nchi yao ila imefanywa kuwa nyumba za watu wachache kuwa nchi yao

    Sio kwa ubaya ila mada hapa JF zinaangiwa mpaka kuna wataalamu wa lugha wanajitokeza kutafuta kiswahili ni sahihi jambo linaro sema ukweli. Kuna mikoa ambayo inapatikana gesi na mpaka sasa wanajeshi wapo wamejazana. Leo pale dodoma kuna uranium ya kutosha mshapeleka urusi. Kuna makahaa ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unajenga nyumba ya makazi karibu na higway? Hujali usalama wa familia yako

    Unakuta mtu kajenga nyumba ya kuishi 40m kutoka bara bara kuu tena imejitenga na centre hivyo magari kwa maeneo hayo yanatembea spidi kubwa. Angalau 100m kutoka barabara kuu ni salama kwa makazi endapo gari litaacha njia.
  6. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibamba shule (Hondogo), Dar es Salaam

    NYUMBA INAUZWA – KIBAMBA SHULE (HONDOGO), DAR ES SALAAM 💰 Bei: TZS Milioni 27 tu Sifa za nyumba: ✅ Kiwanja ukubwa wa mita 23×25 ✅ Umbali wa km 3 kutoka barabara ya lami ✅ Vyumba 2 vya kulala: Master Bedroom 1 Single Bedroom 1 ✅ Sebule ✅ Jiko ✅ Public Toilet ✅ Plasta ya ndani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito zalitikisa Baraza la Ardhi na Nyumba Maswa

    Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi yanayokiuka taratibu na miongozo ya Serikali. Baraza hilo, ambalo lipo chini ya Wizara ya Ardhi...
  8. ZirlovimovicZirkov

    JamiiForums Tanzania Je, tumeamua kumfuga huyu chatu na kumruhusu atawale nyumba yetu?

    Wakuu heshima kwenu. Baada ya muda mrefu kuwepo nje ya jukwaa Leo nimeamua kurudi kutoa maoni yangu na kushirikiana na wanajukwaa katika kujenga na kukosoa yale yasiofaa. Kama kichwa Cha habari kinavyouliza hapo juu, Wakuu, Je! tumeamua kumfuga huyu chatu na KUMRUHUSU...
  9. Sonship

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibaha Loliondo

    NYUMBA INAUZWA – KIBAHA LOLIONDO 1. Vyumba 3 2. Sebule 3. Dining 4. Jiko 5. Master Bedroom 📐 Ukubwa wa kiwanja: Mita 20×20 Bei: TZS Milioni 17.5 maongezi kidogo yapo 📞 Wasiliana: 0675 065906
  10. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mapazia na vyomno vya nyumbani inalipa. Angalia nyumba za wafanyabiashara hao

    Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI Video
  11. M

    JamiiForums Tanzania Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

    Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?😀 Ukubwa wa nyumba mita urefu mita...
  12. Etwege

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaowacheka watu waliojenga nyumba badala ya kufanya biashara

    Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa! Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
  13. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ni sheria gani ya nyumba za kupanga ambayo haiwezekani kufuata licha ya kurudiwa mara kwa mara?

    Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Ila nyumba za Chanika..Nyumba inapigwa make up inawaka kinoma

    Nyie.. au rangi wanapewa bure? Nyumba inapakwa rangi 7 tofauti hadi raha😂😂
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Bunju B kina nyumba za self

    Kiwanja chenye nyumba kinauzwab Bunju B Beach maeneo ya kwa Mjeshi. Kina hati. Sqm 600. Kuna self 3 double na single 2 zina vyoo nje. Wapangaji wapo. Kuna pagala halijaisha. Bei ya mwisho mil 90. Kwa anaye hitaji apuge simu 0796538437 mmiliki wa kiwanja
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mstahiki Meya Kinondoni, Rangi za Nyumba Hazitaficha Majitaka, Vumbi na Ujenzi Holela wa Kinondoni

    1/ Nimeusikia ujumbe wa Meya wa Manispaa ya Kinondoni unaowataka wananchi kupaka rangi nyumba zao ili kuboresha mandhari ya mji. Lengo la kuwa na mazingira yanayovutia ni zuri na linaweza kuungwa mkono na wengi. 2/ Hata hivyo, kabla ya kuanza kuwataka wananchi kufanya maboresho ya mwonekano...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya ndoto zangu(my dream house)

    Natamani nyumba ya ndoto zangu iwe ni mchanganyiko kamili wa teknolojia ya kisasa na utulivu wa mazingira ya asili. Ninaamini kuwa mazingira bora na safi kama haya yanachangia kwa kiasi kikubwa afya njema ya mwili na akili, pamoja na kuleta furaha ya kweli maishani. Ni lengo langu kuu kufanya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Mangi yanaharibu Nyumba Kikuba-Tukuyu

    Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe. Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai.. Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende na scania ambazo zinafanya nyumba zetu kupasuka Kwa mitikisiko na mpk kuanguka. Tunaomba Serikali...
  19. M

    JamiiForums Tanzania NyumbaManager -Mfumo unaosimamia mahesabu ya nyumba za kupanga

    Habari wote, Kama kawaida nawaletea mfumo wa kusimamia mahesabu ya nyumba au apartment za kupanga.Huu ni mzuri zaidi kwa wale wenye nyumba nyingi/apartment na wanahitaji kuweka records vizuri na kuona faida inayopatikana Mfumo unahifadhi 1.Taarifa za nyumba/apartment zako 2.Taarifa za...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

    Fundi kuniambia kama unataka kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa. Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ? Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye...
Back
Top Bottom