Naangalia Nyumba kwa ungalizi

Naangalia Nyumba kwa ungalizi

Tang ubav

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,788
Reaction score
4,063
Mhali Gani wakuu husika na kichwa cha habari pale juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta mtu au watu naoweza kuingia nao mkataba wa kumtunzia Nyumba akiwa kasafiri yupo mkoani au nje za nchi usihofu Mimi ipo ndani ya uwezo wangu usiwe na wasiwasi

Utaikuta katika Hali nzuri vilevile kama ulivyokuwepo ata iwe mingapi? Natunza usiwe na kuingalia kiuaminifu nipo Mara mkoa, nashukuru sana pm ipo wazi na taarifa. Zangu zipo nimeandaa karibuni 🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom