nyumba

  1. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania NYUMBA IPO NARUNG'OMBE NA LUMUMBAPRICE 4 BILLIONS na Milioni 500Building Ina Floor 5Ground Kuna Frame Tatu Ikiwemo Restaurant

    NYUMBA IPO NARUNG'OMBE NA LUMUMBA PRICE 4 BILLIONS na Milioni 500 Building Ina Floor 5 Ground Kuna Frame Tatu Ikiwemo Restaurant First Floor ni Godown Second Floor ni Apartment ya Pande Mbili upande mmoja ni Vyumba viwili na upande mwingine ni vyumba Vitatu na iko hivo Floor...
  2. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?

    🏠 MDau ameuliza: “Nianze na nyumba ndogo ya kuanzia maisha, au nianze moja kwa moja na dream house yangu?” Jibu langu kama mtaalamu wa ujenzi ni hili 👇 Kama tayari una ramani na maono ya nyumba unayotaka kuishi kwa muda mrefu, usikimbilie kujenga nyumba nyingine pembeni ya kiwanja. Kwa nini...
  3. G

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, mifumo ya maji taka inasumbua sana

    Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa. Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anatangaza kwenye Social Media anakodisha Nyumba yake hafu anaiita Airbnb?

    Ili Nyumba/apartment iitwe Airbnb Apartment, ni lazima itangazwe kwenye official platforms za Airbnb (website au App), otherwise ni Nyumba ya kupanga tu. Sahivi ukiingia Insta, Facebook, TikTok watu wanageuza maghetto yao kua ya kupanga na wanayaita Airbnb, ukiwaomba link ya profile yao kwenye...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kutokea kwa Bikira Maria ukutani kwaleta taharuki ya mahujaji na nyumba kuvunjwa huko Kisii, Kenya!

    Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
  6. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

    Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno...
  7. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale NYUMBA INAUZWA MBEZI MAKABE TZS. 23m

    Mbezi mwisho - Makabe - Kwa Lipelanya . Ni nyumba inayohitaji finishing ndogo ili kuingia . Ukubwa wa kiwanja ni mita 17 kwa mita 18 Vyumba vitatu, sebule, dining, store Shimo la choo, setting ya vyoo, setting ya maji na setting ya umeme tayari Imeshapauliwa tayari madirisha na milango ya grill...
  8. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Bado ipo saiti nyumba za kubomoa hizi hapa zinauzwa zipo nyuma ya Vodacom Victoria

    BADO IPO HII SAITI NYUMBA ZA KUBOMOA HIZI HAPA ZI-NA-U-Z-W-A Location: - Zipo nyuma ya Vodacom Victoria - Zipo NDANI ya FENSI - Zipo KWENYE LAMI - Mitaa (TULIVU SAANA) Umiliki - Hati safi Ukubwa wa kiwanja -Kiwanja (SQM 4,276), Sawa...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania watu binafsi wasirusiwe kujenga nyumba bali makampuni ya real estate

    Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
  10. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa Kinondoni Msisiri

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mukuru walalamikia nyumba za bei nafuu: “Tunauliza, nani anapewa nyumba?”

    NAIROBI — Wakazi wa Mukuru, Nairobi, wameibua maswali kuhusu upatikanaji wa nyumba za bei nafuu zinazojengwa katika eneo hilo, wakidai kuwa baadhi ya nyumba hizo tayari zimeonekana kutokuwa na nafasi kwa wakazi wanaohitaji zaidi. Katika video, baadhi ya wakazi wanaeleza wasiwasi wao kuhusu...
  12. Kitomai

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA – MABIBO MWISHO | INAINGIZA KILA MWEZI 🔥

    🏠 💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI! Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa. 📐 Kiwanja: 300 SQM 🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Polisi wa Ushirombo Geita wanaokagua nyumba za kulala Wageni wanatengeneza mazingira ya 'upigaji'

    Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA. Wakikupeleka Polisi...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Mnaokaa nyumba za kupanga (shared) fahamu hili

    Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima...
  15. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania "Ukikimbia wanakupiga risasi, ukijificha wanachoma nyumba"

    "Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia, wanakupiga risasi." Watu hao waliojihami kwa silaha, waliofanya shambulio hilo saa nane usiku (saa...
  16. bless on

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ajabu: watu wanacheza mziki mpaka wanakufa

    Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho. Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani mpaka ikamilike? Pamoja na finishing

    Habari wakuu,
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba bei nafuu

  19. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Waliouwa Oktoba 2025 walikwenda kuzima nyumba ya udongo kutumia gari ya maji ya zimamoto

    Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia. Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto...
  20. Izato

    JamiiForums Tanzania Siri nyuma ya namba 666

    Katika kitabu cha Ufunuo 13:16-18 tunasoma, Naye awafanya wote... wapokee chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao... na hesabu yake ni 666. Katika maandiko matakatifu inaonyesha kuwa "alama ama chapa" ina maanisha ishara ya utii na mamlaka ya kiroho juu ya wanadamu...
Back
Top Bottom