nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga ni vijiji ndani ya miji

    Huku kwetu Kwamtogole nyumba za kupanga ni kiinua mgongo endelevu. Haya yalianza enzi za mkoloni, makuli wengi wa bandarini ndiyo walikuwa Baba wenye nyumba. Siku hizi wengi hupenda kuchukua chumba na sebule. Katika chumba na sebule Hii ni nyumba inayostir familia ya takriban watu...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

    Habari wakuu, Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chief, Nyumba Kumi elders charged with murder of rider

    6 suspects charged in that case An assistant chief and five members of Nyumba Kumi were on Tuesday charged with the killing of a bod boda rider in Meru. The suspects allegedly beat the rider to death to punish him for hosting a party where guests took a local brew in Mitunguu, Meru County...
  5. JamiiForums Tanzania House4Sale Kiwanja na nyumba vinauzwa Magomeni

    Sehemu: Magomeni Kagera (kinatazamana na Morogoro Rd) Ukubwa: 347 sqm Bei: Milioni mia moja na kumi tu (110,000,000) tu Kina Leseni ya Makazi Contact: 0655888268
  6. JamiiForums Tanzania Hii nyumba ilijengwa miaka 72 iliyopita, mmiliki wake sasa ana miaka 96 anaiuza kwakua ameshindwa kuitunza

    Estate Agent alipofika kuiangalia aliamua kupiga picha hizi. Kwa miaka 72 ameweza kuitunza nyumba katika hali hii. Mume wake ameshafariki na watoto wote wana maisha yao.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sera ya Nyumba 300 Rwanda

    Wakati Tanzania tukivutana Rwanda wameamua kitekeleza Kwa Asilimia 💯 maisha ni miji na Siasa ni miji
  8. JamiiForums Tanzania Hii nyumba itanigharimu kiasi gani cha pesa?

    Wakuu salam kwenu. Nataka kuhamia kwenye kiwanja changu. Nia yangu ni kujenga vyumba viwili katika kona ya kiwanja changu kusudi tu nihamie ila hiyo nyumba ya ndoto yangu nijenge katika sehem iliyo baki. Kwa ujumla nataka mlango wa kuingilia uwe mmoja (sebleni)ambapo chumba cha masterbed...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Lukuvi ina taarifa jinsi ‘Wapangaji‘ wa Nyumba ‘tunavyonyanyaswa‘ na wenye Nyumba?

    Yaani hadi najuta sijui ni kwanini nimekuwa Mpayapaya/ Masikini/ Mbayuwayu hivi kiasi kwamba miaka yangu nenda rudi nashindwa kupata Kipato cha hata Kununua tu ‘ Simenti ‘ mfuko Mmoja ili name nianze Ujenzi wa Kujenga ‘ Kakibanda ‘ Kangu niondokane na ‘ manyanyaso ‘ ya ‘ Kimakusudi ‘ kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania KERO: Umeme wa kununua kwa zamu na nyumba za kupanga ni janga

    Wakuu, nimepita sehemu hii jioni kuna ugomvi mkubwa kisa ni zamu za umeme, kiukweli hizi luku ni nzuri kama wapangaji wako wachache na wanaelewana vinginevyo ni majanga. Hivi haiwezekani kila mpangaji akawa na mita yake kama vile switch? Mabachela inakula kwao zaidi wanaotoka asubuhi kurudi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

    Jana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million. Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kutekeleza ilani: Nyumba 1500 za NSSF zilizokosa wanunuzi kupewa Vyuo vikuu

    Nyumba zaidi ya 1509 zilizojengwa na NSSF kwa ajili ya kuwauzia wananchi lakini zimekosa wanunuzi na kuwa makazi ya POPO katika maeneo ya Tuangoma na kwingineko sasa kugawiwa kwa vyuo vikuu vya umma. Source Habari Leo. Maendeleo hayana vyama!
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama atangaza punguzo la bei ununuzi wa nyumba za PSSSF za Buyuni - Chanika jijini Dar es Salaam

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), ametangaza punguzo la bei kwa karibu asilimia 50 kwa atakayehitaji kununua nyumba zilizo katika mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazomilikiwa na Mfuko...
  14. JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba kubwa hasara zake ni kubwa kuliko faida

    Una familia ya watoto wanne, umefanikiwa kimaisha watoto wanasoma na unajenga nyumba ya ghorofa vyumba 12 vya kulala. Kwanza gharama za ujenzi ni kubwa, baada ya ujenzi kutunza nyumba ya vyumba 12 ni gharama kubwa sana. Hata ukiwa na mawazo ya familia kukutana watoto wanne wenye mafanikio si...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sawa mke na mume ndani ya nyumba kuishi hivi?

    Guy
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kuwa walioshinda bila kupingwa Serikali za Mitaa wanajulikana katika ofisi za CCM tu, wananchi hawawajui, wapite kila nyumba kujitambulisha

    Mamilioni ya wananchi hawawajui hawa walioshinda bila kupigiwa kura, wanafahamika kwa viongozi wa CCM tu. Nadhani ni busara walazimishwe kupita kila nyumba kusalimia na kujitambulisha.
  17. JamiiForums Tanzania Plot na nyumba (unfinished)vinauwa -Mbweni Masite

    BEI 55 MIL PLOT 23*20 +Unfinished house Ina VYUMBA VINNE KIMOJA N MASTER BED ROOM DINING NA SITING ROOM KUBWA CHOO NA STORE NA JIKO KUBWA MBWENI MASITE HAKINA UDALALI MADALALI.MNAKARIBISHWA WASILIANA NA HUYU SOJA +255713458722/0688502275
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa Imekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha

    Licha ya kuwa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Jemedari Rais Mhe. John Magufuli kuwa katika mstari wa mbele kupiga vita rushwa, lakini katika hali ya kusikitisha vitendo vya rushwa vimekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha. Wengi wa wanaohitaji huduma kutoka kwa waheshimiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mvua zaharibu nyumba zaidi ya 360 Songwe

    Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha jana jioni Mkoani Songwe imesababisha uharibifu wa nyumba Zaidi ya 360 Katika Wilaya za Mbozi na Momba pamoja na kujeruhi watoto wawili. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen Nicodemus Mwangela mapema leo ametoa taarifa hiyo mara baada ya kukagua hali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Simba mlinda nyumba karibu na shule akamatwa Nigeria

    Hebu tafakari hili, unatembea mjini halafu upite karibu na nyumba inayolindwa na simba wala sio mbwa. Hiyo ndio hali waliokumbana nayo wakazi mjini Lagos, Nigeria baada ya mmiliki wa nyumba moja kuamua kutumia simba kama mlinzi. Simba huyo wa miaka miwili aliripotiwa kuonekana katika nyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…