Sera ya Nyumba 300 Rwanda

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,870
2,000
Kila kiti kizuri Kigali haya wee Asante kwa kufanya Kigali kuwa ndio Rwanda.Huko kwingine mmmmmmmm
 
mlimangulu

Member
Oct 20, 2019
44
150
Na wewe acha kujifanya mjuaji wa kila kitu sasa kwani kuna tofauti gani kati ya Rwanda na Kigali, Kigali IPO Rwanda na hakuna Kigali bila Rwanda na hakuna Rwanda bila Kigali . tuwapongeze wenzetu kwa hata wanazopiga katika kuinua maisha ya watu wao kwa kuboresha Mimi yako na makazi yao, hata sisi Tanzania kuna Jema na jipya la kujifunza kupitia wao. Sio vibaya kama tutajifunza na kuiga mazuri Kutoka kwa majirani na marafiki zetu
 
Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,686
2,000
Kila kiti kizuri Kigali haya wee Asante kwa kufanya Kigali kuwa ndio Rwanda.Huko kwingine mmmmmmmm
Kwani wewe unajua maeneo hani Rwanda? Kigali ipo Rwanda. Ni wapi kule uliona nyumba za tembe/nyasi kama sisi? Shule zao kuna sehemu uliona wanakaa chini? Ile ni nchi ndogo, landlocked, ina resources kiduchu, mauaji ya genocide yaliiharibu nchi kwa kiasi kikubwa. Na kama kusingekua na vita leo hii tungekua tunapokea misaada toka huko.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Kwa Nini kana Wana akili waliuana wao kwa wao ? Wakati nchi za wajinga hawauani wao kwa wao?
Wajinga na Wapumbavu huwa hawauwani na ukiona Taifa lolote lile linauwana jua Wananchi wake ni Werevu ( wana Akli sana ) halafu hizo nchi baadae huja kuwa na Maendeleo makubwa mno. Hata hii Marekani ya leo Kihistoria huko nyuma ilipigana sana Vita na bado hadi leo inapenda Vita ila cha Kusikitisha hata nchi yako unayotoka Wewe YEHODAYA pamoja na kwamba ina Amani yake ya ' Kinafiki ' lakini bado inaitembezea ' Bakuli ' la Msaada hiyo nchi.

Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,870
2,000
mauaji ya genocide yaliiharibu nchi kwa kiasi kikubwa. Na kama kusingekua na vita leo hii tungekua tunapokea misaada toka huko.
Kwani hiyo Vita ilianzishwa na watanzania so walibomoana wenyewe kwa wenyewe unaongea utafikiri Kuna mmarekani alivamia Rwanda au mataifa ya nje
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Proudly Rwandese
Kuna Wananchi fulani hivi kutoka Taifa lililo Jirani na Rwanda ( wanaoongoza kwa Uvivu na Ugoigoi Afrika Mashariki nzima ) wanapenda na wanatamani mno nao wangebarikiwa kuwa na Akili Kubwa kama Wanyarwanda au hata wawe tu ' Watutsi ' ili watambe ila imeshindikana na sasa wamebaki tu Kuichukia Rwanda, Wanyarwanda na Rais wao Shujaa na Mwanamume wa Shoka Mheshimiwa Paul Kagame..

Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,870
2,000
Wajinga na Wapumbavu huwa hawauwani na ukiona Taifa lolote lile linauwana jua Wananchi wake ni Werevu ( wana Akli sana ) na kwamba ina Amani yake ya ' Kinafiki ' lakini bado inaitembezea ' Bakuli ' la Msaada hiyo nchi.

Nenda Rwanda kasimame mbele ya Kagame na watusi uongee hili.kama hawajakuua .Unachosema Ni kuwa ilikuwa halali kwa mamilioni ya watusi wauawe na wachinjwe Kama kuku ili Rwanda ipate maendeleo sio?
Kwa hiyo watusi waliouawa kwako ndio ilikuwa kafara ya Rwanda kuendelea?

Kwa hiyo unaunga mkono mauaji ya kimbari ya watusi?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Rwanda iache kuiba rasilimali za CONGO RDC.
Wakati ukisema ya Cong DR kuwa inaibiwa Rasilimali na Rwanda mbona hushangai kuwa nchi yako inaongozwa kutokea Kigali?

Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,590
2,000
Nenda Rwanda kasimame mbele ya Kagame na watusi uongee hili.kama hawajakuua .Unachosema Ni kuwa ilikuwa halali kwa mamilioni ya watusi wauawe na wachinjwe Kama kuku ili Rwanda ipate maendeleo sio?
Kwa hiyo watusi waliouawa kwako ndio ilikuwa kafara ya Rwanda kuendelea?

Kwa hiyo unaunga mkono mauaji ya kimbari ya watusi?
Rwanda ndiyo Taifa pekee lenye Watu wenye Akili nyingi na zilizobarikiwa pengine kuliko hata Mataifa mengine Barani Afrika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom