Kitondo
Member
- Jul 10, 2019
- 62
- 145
Wakuu salam kwenu.
Nataka kuhamia kwenye kiwanja changu. Nia yangu ni kujenga vyumba viwili katika kona ya kiwanja changu kusudi tu nihamie ila hiyo nyumba ya ndoto yangu nijenge katika sehem iliyo baki.
Kwa ujumla nataka mlango wa kuingilia uwe mmoja (sebleni)ambapo chumba cha masterbed mlango wake utakuwa kwa ndani.Urefu wa kila chumba nataka iwe mita tano(urefu)na mita nne(upana).
Kwa tathmini wakuu hapo itanigharimu shilingi ngapi za kitanzania.