nyumba

  1. Muislaam

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbagala

    Ipo Mbagala Zakhem, nyuma ya gholofa la Amana Bank. Hati milki ipo. Bei ni milioni 55, maelewano yapo. Kwa mawasiliano piga: 0714167626 au 0688882973
  2. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unavyonunua nyumba iliyokamilika, yasikukute haya

  3. mayowela

    JamiiForums Tanzania "Times FM" Nyumba ya Mapito

    Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki, uendeshwaji wake naupenda sana, Muanzilishi alishatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu amrehemu ila...
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nikimsaidia mke wangu kuosha vyombo kwenye korido ya nyumba ya kupanga ni kosa?

    Hivi Kuna ubaya wowote kumsaidia mke wako kuosha vyombo koridoni? Nadhani hakuna shida ni ushamba wa wanaume wa afrika. Bold but nothing! Mimi naosha vyombo bila shida yoyote. Long live mama f
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako akiamua kumpa nyumba baba/mama yake ni sahihi?

    Huyu ni mtoto wa ujanani, kwakuwa bado wote au mmoja wenu alikuwa bado mwanafunzi wazazi wenu waliwasaidia ulezi mpaka mlipopata uwezo wa kumlea mtoto. Mengi yalipita na nyinyi wawili hamkuoana tena. Kabla ya kuingia kwenye ndoa mpya unaamua kumnunulia mtoto wako wa kwanza nyumba. Wakati huo...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Biashara la kujenga nyumba ya bei nzuri

    Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mama mwenye nyumba pesa; ni ngumu kumdai

    Wakati ninaanza maisha nilipanga nyumba za kanisa la Kilutheri, nyumba zenyewe ziko kwenye prime location. Alikabidhiwa bwana mmoja na mkewe kuziangalia. Nyumba zilikuwa mbili kubwa zenye servant quarter. Jamaa alipangisha zote kama nyumba nne kipekee wakati ilitakiwa kila anaechukua nyumba...
  8. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu. Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba.. Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ona hapa Tabia zinazokera na Uchafu wa watu wanaokaa au kupanga Nyumba Chumba Single Self

    Chumba single Self ni chumba kimoja chenye choo ndani yake. Kwa mpangaji wa nyumba au mtu alowahi kupanga vyumba atakuwa wanamielewa sawa sawa. Wapangaji wengi hapa mjini wanatafuta vyumba self. Nikimanisha either Single self (Chumba kimoja na choo ndani) ama double Self ( Chumba na sebule...
  10. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

    Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake. Alivyokuwa chini ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

    Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu. Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo...
  12. Degelingi_One

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu inapigwa mnada na NMB

    Habari wakuu humu ndani. Mimi ni mfanyakazi wa serikali nipo Dodoma kikazi. Nina nyumba yangu mkoani Iringa. Baba alishawahi kuchukulia mkopo katika bank ya NMB. Leo wakati natoka kazini nimepigiwa simu na mpangaji wangu kuwa nmb wamefika nyumbani na kuchora tangazo "Nyumba inauzwa"...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani umewahi kukutana nao kwenye nyumba za kulala wageni (gesti) mpaka ukajisemea nini hii?

    Leo naomba tuambiane visa mbalimbali ambazo tumekutana nayo kwenye nyumba za kulala wageni (guest houses) ambazo kimsingi umeshindwa kuelewa kilichotokea kwa macho ya kawaida. Binafsi nitaelezea visa viwili ambavyo sijawahi kuelewa kilichonitokea. Kisa cha kwanza kilinikuta Jijini Arusha mwaka...
  14. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa iko Mbweni Masite haijamalizika 40*23

    BEI 43" 000" 000 43MIL HAIN DALALI UKUBWA 40*23 DK TANO TOKA MASITE MBWENI BARABARAN UKIWA BARABARANI UNAIONA AIJAMALIZIKA KUBADILISHA DOCS INAKUHUSU.MNUNUAJI HATI.IPOOOO CONT +255713458722 HAINA MAONGEZI WALA PUNGUZO
  15. P

    JamiiForums Tanzania Fundi nyumba anahitajika

    fundi nyumba anahitajika kwa kazi.kazi iko maeneo ya Temeke mpigie boss 0717371685
  16. anti-negative energy

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    Wakuu habari, Nilikua nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Africana, makongo au kigamboni vigezo:) iwe self contained yani chumba kimoja na choo ndani kwa ndani ii) pasiwe na msongamano wa nyumba nyingi Gharama za malipo kwa mwezi tutaelewana baada ya kuiona nyumba Pendekezo: ikiwa nyumba...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Utangulizi Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu...
  18. Muhamala

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kukodishwa Boko inahitajika

    Wakuu kwema nyumba ya kukodishwa inahitajika maeneo ya boko isizidi mbele ya boko chama. Bila shaka humu tuna ma landlord. Iwe ndani ya fence. Vyumba viwe viwili kimoja master. Umeme na maji. Isiwe mbali sana na barabara. Bajeti ni 100,000 - 150,000
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wafahamu watu mashuhuri na nyumba wanazoishi

    BILL GATES – EST. £121.5 MILLION, WASHINGTON PIERCE BROSNAN – EST. £15.4 MILLION, MALIBU ELTON JOHN – EST. £27.2 MILLION, BEVERLY HILLS
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania RC mwanasiasa akisimamia nyumba za umma: tusubiri maafa!

    Sasa hivi wanasiasa wanashindana kujenga nyumba za umma kwa hela kiduchu ili kumridhisha aliyewateua. Tena wanafanya hivyo mbele ya kamera ili waonekane kama huyu RC. Tunaomba wakitoa maagizo ya kupunguza gharama za ujenzi, waweke maagizo hayo kwa maandishi yenye sahihi ili kuonyesha...
Back
Top Bottom