Mfano, Cosmas Chidule aliimba nyimbo nzuri kuhusu makao makuu Dodoma, lakini aliiharibu kwa kuitaja CCM kwakuwa wakati anaitunga nchi ilikuwa ya chama kimoja. Ziko nyimbo za furaha, huzuni na matukio ambazo wasanii wetu wanafanya kazi kubwa ya kuzitunga lakini zinageuka big G baada ya muda...