Kumbe wasomali wanajua kuimba nimependa nyimbo zao

askofu rashid

Member
Oct 26, 2020
25
43
Katika pita pita yangu youtube nikakutana na nyimbo za wasomalia asee ni nzuri mno japo sielewi waimbacho ila nimependa nyimbo zao kuanzia melody,beat,uvaaji na sauti
Hizo apo ni baadhi ya nyimbo zao.

 
Back
Top Bottom