nyimbo

  1. Ipi bora kati ya kuuza movie na nyimbo, vipodozi na kucha au Chips. Mbagala/Gongo la mboto.

    Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
  2. TBT - nyimbo za kizazi kipya zilizowahi kubamba

    Jioni imekua murua sana na burudani ya Muziki wetu wa bongoflava
  3. Kero: TBC punguzeni kutuwekea nyimbo za taarabu asili mnaboa

    Hakika sikio la Kufa halisikii dawa Hali inazidi kuwa mbaya, Sasa ivi wakubwa Hawa wamejikita kupinga NYIMBO za taarabu asili Kama mvuaaaa yaan inashangaza kidogo Kwann Sasa ivi Hawa wakubwa Wana piga Sana NYIMBO za taarabu asili iv lengo lao Nini hasaaa Acheni mambo yenu TBC embu...
  4. Kwako Nape kila kada anaweza hizo nyimbo

    Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu.
  5. Kumbe huyu mwamba aliwahi kusifia Afrika Mashariki kwenye nyimbo zake

    Krisimasi njema wanajukwaa, huu wimbo ndio mara yangu ya kwanza kuuskia, Phil Colins amesifia Afrika Mashariki halafu la kushangaza ni kama ulipotezewa haujatumika na taasisi zinazohuasiana na matangazo ya utalii....
  6. Je ni sawa Kuweka nyimbo au mambo ya dini kwenye usafiri wa jamii

    Kuna baadhi magari ya abiria unakuta wanaweka mambo ya dini kwenye redio zao tena kwa sauti kubwa je hii ni sawa maana mule mpo watu dini tofauti pia wengine awana dini pia wengine awaamini kinachoongelewa kwa wakati huo hii naona kama haiko sawa
  7. Ilikuwa 1980 nchini Poland, mdau amekwenda kwenye music festival na radio cassette ili arecord nyimbo

    Ilikua Jarocin Festival, vijana na wanaharakati walii penda sana, ilikua inspiration kuachana na utawala wa ki communist na waliimba mabaya yakiyofanywa na viongozi.
  8. Kwanini ninachelewa kusinzia nikisikiliza hiizi nyimbo? Nipo peke yangu

    Kuna playlist yangu nikijiroga kuiweka huwa kulala ni saa tisa kama muda huu niliopost Huenda kuna wanasaikolojia hhumu waniambie chanzo Saa 2 kasoro iabidi niwe kazini, hapa kuamka saa 1 kasoro 2 berry - Na Wewe Tu Mike tee - Sintobadilika JI - Kidato Kimoja MB Dogg - Natamani Mr Paul -...
  9. Nyimbo namba moja week hii kwangu

  10. Ombi la nyimbo za cosmas chidumule za injili

    Yeyote mwenye nyimbo original za cosmas chidumule za "libarikiwe neno hili" na "ya nini mizigo hiyo" naomba anisaidie whatsapp no 0717297545 Kwa upendo wa kristo.
  11. Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

    Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
  12. Singasung TV ikipasuka Screen inaweza kuplay USB/Flash nyimbo za audio?

    Wakuu kaTV kangu ka SingSung inch 24 imevunjika kioo. Nimeogonga kwa bahati mbaya. Nauliza TV ikipasuka kioo inaweza kupiga nyimbo kwa USB/flash ya kawaida. Yaani nina uhakika kila kitu kizima kasoro kioo tu ndio kimevunjika. Sasa kama inaweza kuplay USB nitumie njia gani maana kioo hakisomi...
  13. Wadau anaefahamu mwimbaji wa hii nyimbo au jina la hii nyimbo anisaidie tafadhari ni nyimbo ya kikorea

    Msaada wa hii nyimbo ya kikorea kwa anayejua Nani kaimba na jina la wimbo
  14. Aliesikiliza hii nyimbo inayowaponda Yanga, ya Tunda man na Dulla

    Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,
  15. N

    Whozu ft Donat mwanza: Simba Noma bonge la wimbo

    chama la wana simba ni kiiiibokooooo siiimba ni nooma eeheeeee siiimba siiiimba aaaah aweweweeee walete waleteeeeeeeee Niki report toka kurasini bandarini ni mimi Nzagamba dume a.k.a MZEE TOZI mzee m bad zee la bandari, wazee wa bandari meli hiyoo Poooohoooo. KUIACHA SIMBA EEHEEE KUSHABIKIA...
  16. TANZIA Ephraim R. Mwansasu, Nguli wa Nyimbo za Injili Afariki Dunia

    Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho. Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi...
  17. Hizi nyimbo mpya za siku hizi mnazionaje?

  18. M

    Nyimbo 3 bora za Amapiano Tanzania, na tatu mbovu zaidi

    Kilingana na trend ya amapiano Bongo Land hizi ni nyimbo tatu Bora za amapiano lakini pia nimeweka na nyimbo mbovu zaidi za Amapiano, Bora zaidi 1. Anajikosha. - Harmonize 2. Mama Amina - Marioo 3. Sadakalawe harmonize 4. Kamseleleko - Mbosso Mbaya Zaidi 1. IYo diamond ft vocalist 2. amapiano...
  19. Uzi maalum wa nyimbo kali/tamu/nzuri za guitar au piano tu

    Namaanisha zile nyimbo maarufu na ambzo sio maarufu..ila tu hazina kick(mdundo) Zaidi ya sauti ya kawaida(vocal) na sauti ya umeme(ala/voice) ambayo haihusishi kick (pigo mtetemo) 1. Mr flavour - I'm for real 2. Celine Dion - To love you more 3. Ferre Gola - Regard moi 4. Banana Zoro - Mapenzi...
  20. Nyimbo za wasanii wa bongo ni upuuzi mtupu

    Muziki siku hizi sijui umekuaje? Wiki mbili zilizopita wasanii wakubwa bongo wametoa ngoma mfululizo ajabu leo hakuna hata moja inayotamba mtaani zimeshachuja hakuna cha Kamata, Ndombolo,Salute wala Sandakalawe, afadhali kidooogo Nyumba ndogo ya Chuchu inafurukuta furukuta kwenye vigodoro!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…