Aliesikiliza hii nyimbo inayowaponda Yanga, ya Tunda man na Dulla

Harrykany

JF-Expert Member
May 10, 2019
615
662
Ni Siku ya wananchi KAPUMBU katia doa, wamechukua msukule, walidhani wametukomoa, SIMBA ya kimataifa wenzetu team ya mkoa, ZANAKO wamechomeka YANGA wameshindwa kuchomoaaa, hayo Ni maneno ya mwanzo ya wimbo wa Tundamani Na wasanii wengine,

IMG_20210902_212835_853.jpg
 
Nyimbo nzuri sana ya kuhamasisha.hii nyimbo wakisikia wanaziba masikio hawataki kusikia jina Kapumbu.
Ni nyimbo ya kijinga sana, Simba walifungwa na Libolo ya Angola wala haikuwa shida, Tundaman mziki umemshinda amehamia kwenye vijora.
 
Hii ngoma kali sana.

Ina vibe la kutosha.

Tundaman popote ulipo " Huyo Miss Manyara ni nani? Nauliza tu.
 
Back
Top Bottom