Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,418
Reaction score
4,113
Shikamoon wakubwa zangu wote

Wadogo zangu hamjambo.

Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye.

Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa sababu nyepesi mno.

Nikaona binafsi nitatunia jina langu na picha halisi lakini nusu ya wanajf wanasema Mimi mwanaume, mwanzo ilikuwa inanikera ila kwasasa nazidi kuona Bora waamini hivyo.

Kingine huu mtandao unaongoza kuwa na watu wasio na kazi maalumu,(hili niliweke kando)

Ukiwagusa na kuwaambia jambo wanakuja juu kimbilio lao ni kuleta chapisho Kwa kiingereza,,kama kutisha fulani umuone ni mtu wa maana.

Mwingine alidiriki kunitumia picha kabisa kuonesha yeye ana duka, mmmmh pole mwaya, wewe bado sana,alivyoshindwa vita hapa, akaona aje PM ,eti atahakikisha nakufa kisa tumetukanana.,sikumjibu zaidi ya kumuhurumia 😂

Usiku mwema braza and sistaz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom