😆😆piga kilaji utoe Siri za watuImekujaje kama uzi😅
Ujue ban inakunyemelea 😁😄Imekujaje kama uzi😅
Weka shida Chini Glass Juu basi TuchezeHahah, sisi wanyabi tunapenda utani , hasaaa utani tunaoupenda ni wapesa na kula pombe 😂
Najua kuna wenye shida humu, tufanye kuweka shida chini ,halafu mikono juuu🍻🍻🍻🍻🍻
Ndiyo ujue kuwa duniani hakuna usawa.