nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania Hawa Standup Comedy wa Tanzania, nyie wana JF wanawachekeshaga?

    Hell... Nazungumzia hawa kama wanajiita sijui Watubaki na cheka tu. Naonaga matangazo yao kiukweli naona watu wanacheka vitu ambavyo hata havichekeshi. Au ni mimi ndiye nina stress. Maana ule ni usimuliaji tena hata kwa vitu havichekeshi. Na style ni stori utotoni ilikua hivi mara vile.
  2. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

    Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine...
  3. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Watu wanajipa muhimu nyie, acheni tu

    Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Hebu niulize,kwann baadhi ya wand wanajifanya kumjua mtu zaidi ya anavyojijua yeye. Nakumbuka wakati najiunga humu aliyenisaidia aliniambia hupaswi,kutumia jina halisi au picha halisi, nilivyo muuliza sababu nini kwanini isiwe hivyo,alinipa...
  4. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Early 2027 to 2029, its either us, or you but not them- 2027 mpaka 2029 huenda ni sisi, au nyie ila sio wale

    Hii ni tofauti na iliopita, walioshinda kwa sasa hawana cha kupoteza, usisimame kama unatambua miguu haina stamina, na hauna uwezo wa kukinga ukiwa hewani. Uzuri wa sayansi ya kufikiria ilio na vitendo kisha kupelekea matokeo, inahitaji uharaka wa kujua mienendo, namna utakavyo himili tendo...
  5. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

    Salam sio kipaumbele sana. Kiukweli hawa mabinti wanastahajabisha sana, eti unamleta ghetto ambalo maji yapo ya kutosha tu, lakini unamchimba vilivyo, mwisho unamuonesha bafuni akatoe vumbi ili andoke vizuri yeye anabinua mabega juu kuashiria hayuko tayari kwenda kuoga!, sasa najiuliza hawa...
  6. Rocky City

    JamiiForums Tanzania Walimu waliweka tiki Oktoba 29, wamepigwa pini madaraja wanatoa milio

    Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbona nyie ambao hamnywi mnamaisha magumu kama sisi tunaogida kila siku?

    Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama. Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea. Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
  8. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake hela mlitengenezewa nyie

    Yaan tuna rasilimali za kila aina ccm wanajenga vibarabara kwa mikopo na misaada wanataka tupongeze hivi kwa rasilimali tulizonazo hii nchi inasababu ya kujenga vibarabara uchwara kwa mikopo, tz ni ya kupewa msaada wa madawati, vyoo kweli....😪 ccm walishagawana kila kitu wakishirikiana na...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie "Vi-Ben10" na "Mamarioo" mna akili timamu au mmerogwa na hawa Mashugamami?

    Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli. Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea lugha kipimo chao.. Nisamehewe😂 Hivi nyie wavulana wa hovyo mna akili timamu kweli au mmerogwa na...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nyie pingapinga, kizazi cha Mange Kimambi ni nani kawaroga?

    Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga". Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika mwili. Vijana wengi Wafuasi wa MANGE ni wale wenye elimu kuanzia kidato cha nne mpaka bachelor degree...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kila jamii inatabaka, kuna tabaka ambalo walishajichagua wenyewe, tabu na mateso yenu ni ya kwenu wenyewe ingawa hawawezi survive bila nyie

    Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia. POLENI SANA. Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu. Mshana Jr min -me ngara23
  12. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

    Wakubwa shikamoon Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa. Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
  13. The ghost writer

    JamiiForums Tanzania Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  14. zachariano alexido

    JamiiForums Tanzania Mnatuambia tusioe wakati nyie mmo kwenye ndoa, mnamaanisha nini?

    Hili jambo linaniumiza kichwa sana unakuta mtu anahamasisha tusioe ilihali yeye yumo kwenye ndoa. Mzee wa kaliua ukimsikiliza mambo yake huko Instagram, yeye na wrngine wana kandia ndoa sana, lakini inasemekana ye kaoa na ana watoto, sasa huku nikuhurumiana kupotoshana?
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa machawa kwa Sasa haupo ,tunaomba Sasa watu wenye kutuambia ukweli maana ndio wakutusaidia ,na nyie wasema ukweli muwe na staha!

    Katika mazingira yoyote ya kazi au jamii, maendeleo ya kweli huanza pale tunapojenga utamaduni wa kuambizana ukweli kwa nia njema na kwa heshima. Ni muhimu kuelewa kwamba uchawa uliopitiliza haujengi, bali hudhoofisha misingi ya uongozi na kuua ubunifu pamoja na uwajibikaji. Pale ambapo watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  18. R

    JamiiForums Tanzania Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Mmejifunza nini kwa mzee wetu Mtei?

    Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini! Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha. Bumbavu CCM
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tanzania si nchi ya kununua unga wa ugali nyie mliokuja kijijini msiondoke bila kulima eka 1 ya shamba la mahindi

    Nianze na kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 kwa kuenzi falsafa ya Mwl Nyerere ya Siasa na kilimo. Toka aingie madarakani Mh. Rais ameendelea kugawa matani kwa matani ya mbolea za ruzuku kwetu sisi wakulima. Asante sana Rais WETU🙏 Mtanzania kununua unga wa ugali na hii ardhi nzuri...
Back
Top Bottom